Kwanini Fatma Karume siku hizi "kajitenga" na CHADEMA

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Fatuma Karume ambaye enzi za serikali ya awamu ya tano (5) alitambulika kama "shangazi" miongoni mwa wafuasi wa Chadema sasa hivi ni dhahiri kajitenga na Chadema.

Siku hizi huwezi kukuta wafuasi wa Chadema wakisambaza "tweets" zake au yeye "shangazi akiungana na wafuasi wa Chadema kutetea "hoja fulani" dhidi ya serikali.

Je "ushangazi" umeisha?
 
Ukitumbia kwanini akina mjomba slow &co naokwanini wamejitenga na kijani, utapata hata jibu la shamgazi .
 
Fatuma Karume ambaye enzi za serikali ya awamu ya tano (5) alitambulika kama "shangazi" miongoni mwa wafuasi wa Chadema sasa hivi ni dhahiri kajitenga na Chadema.

Siku hizi huwezi kukuta wafuasi wa Chadema wakisambaza "tweets" zake au yeye "shangazi akiungana na wafuasi wa Chadema kutetea "hoja fulani" dhidi ya serikali.

Je "ushangazi" umeisha?

shangazi wa kupenda mashoga !
asili alipotoka ndio mashoga wengi huko.mkianza kulipinga analeta sheria kibao
 
Fatuma Karume ambaye enzi za serikali ya awamu ya tano (5) alitambulika kama "shangazi" miongoni mwa wafuasi wa Chadema sasa hivi ni dhahiri kajitenga na Chadema.

Siku hizi huwezi kukuta wafuasi wa Chadema wakisambaza "tweets" zake au yeye "shangazi akiungana na wafuasi wa Chadema kutetea "hoja fulani" dhidi ya serikali.

Je "ushangazi" umeisha?

Jussa, zzk pia wamerudi nyumbani. Zenji kumenoga:

Zanzibar Wanapopaa ijue Siri ya Mafanikio yao

Zenji si wenzetu tena.
 
Ongeza hawa kwenye orodha yako.
1. Kigogo... Didier Abdallah Mlawa
2. January Makamba
3. Nape Nauye
4. Mange Kimambi..

Wote waliohisi kutengwa na JPM kichaka chao kilikuwa Chadema
Tunauitaje Sasa, kama sii unaa was viwango vya kijani.
 
Fatuma Karume ambaye enzi za serikali ya awamu ya tano (5) alitambulika kama "shangazi" miongoni mwa wafuasi wa Chadema sasa hivi ni dhahiri kajitenga na Chadema.

Siku hizi huwezi kukuta wafuasi wa Chadema wakisambaza "tweets" zake au yeye "shangazi akiungana na wafuasi wa Chadema kutetea "hoja fulani" dhidi ya serikali.

Je "ushangazi" umeisha?
Fatuma hajawahi kuwa Chadema,ila siku zote amekuwa anticcm na ndivyo alivyo.
Umekosa hoja ya kuitaja Chadema tu sijui ulisahau nini huku.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ongeza hawa kwenye orodha yako.
1. Kigogo... Didier Abdallah Mlawa
2. January Makamba
3. Nape Nauye
4. Mange Kimambi..

Wote waliohisi kutengwa na JPM kichaka chao kilikuwa Chadema
Hawa bado wanapambana na marehemu kuharibu legacy yake. Ni watu wa hovyo sana wako tayari wananchi wateseke ilimradi waharibu legacy ya JPM. Kwa sasa wanapambana kuhakikisha bwawa la Nyerere halikamiliki.
 
Fatuma hajawahi kuwa Chadema,ila siku zote amekuwa anticcm na ndivyo alivyo.
Umekosa hoja ya kuitaja Chadema tu sijui ulisahau nini huku.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
alipata cheo kwa kuwatukana hasa chadema na viongozi wake, sasa nadhani anadhani hiyo mbinu bado inafaaa ili arudi juu.

kwahiyo hajiongezi, kila akiamka na akilala yy anatafuta swaga la kumchokonoa mtu..

hivi yule mdogo wake wakiu-ke/me anaeddeleaje?
 
Fatuma Karume ambaye enzi za serikali ya awamu ya tano (5) alitambulika kama "shangazi" miongoni mwa wafuasi wa Chadema sasa hivi ni dhahiri kajitenga na Chadema.

Siku hizi huwezi kukuta wafuasi wa Chadema wakisambaza "tweets" zake au yeye "shangazi akiungana na wafuasi wa Chadema kutetea "hoja fulani" dhidi ya serikali.

Je "ushangazi" umeisha?
Chadema imeshakufa siku nyingi kwa sababu yakupingana na jiwe
 
Back
Top Bottom