Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila...
78 Reactions
326 Replies
21K Views
Mpendwa Mama Samia, Nchi hii haiwezi kujengwa kwa kuomba omba. Nchi inajengwa kwa kazi, bidii, na nidhamu ya utumishi wa umma. Nchi yetu imebarikiwa kila aina ya rasilimali: Maji, Mito, Mabwawa...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
Wana Jamvi wacha tuwe wazi. Kama Katiba ingebadilishwa watu kama mbunge wa Geita vijijini wasingeuona Ubunge. Maana katiba ingetaa. Wamshukuru Magufuli kwa mwendo wake wa taratibu katika...
5 Reactions
61 Replies
10K Views
Heshima kwenu wakuu! kichwa cha habari cha husika! Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita amshusha cheo mkuu wa shule ya sekondari KASAMWA (MR OTIENO) iliyopo halmashauri ya mji wa Geita! Sababu na...
20 Reactions
252 Replies
34K Views
Mh. Ukiachilia mbali mfumuko wa bei wa ajabu kuwahi kutokea,,,nakuomba zuia mazao kwenda nje ya nchi ulinisuru Taifa na njaa,,mvua zimegoma kunyesha mahindi na mpunga vimeanza kupandishwa bei...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania. Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza. Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna...
5 Reactions
41 Replies
6K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, "Kama nimekubali kubeba mzigo wa kuongoza hii Nchi, kuna mambo kadhaa yaliyoelekezwa ndani ya Ilani niyatimize. Sitayatimiza kwa kukaa Ofisini Dodoma...
7 Reactions
161 Replies
10K Views
Siku hizi nimeanza kupata wasiwasi sana juu ya utambulisho wetu wa makabila. Sijui nini kinatokea kwenye jamii zetu. Juzi nilikiwa na kijana mmoja kutoka mkoani Mara katika kujitambulisha mpaka...
1 Reactions
7 Replies
755 Views
Habari Wana JF, Kuna hoja nyingi sana zinasukuma kujengwa bandari kubwa ya Bagamoyo. Mradi huu ukipata nguvu sana wkt wa JK. Haukukamilika wkt wake. Sasa umerejea kwa kasi kiasi cha...
14 Reactions
55 Replies
3K Views
Wananchi wa Kigamboni wanashukuru sana kwa ujenzi wa Daraja la Nyerere. Ni mkombozi mkubwa. Changamoto ni tozo. Daladala moja inatozwa Sh5,000 ikienda mara kumi kwenda na kurudi ni Sh100,000 kwa...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Huwezi Kuongelea mabadiliko ya makusanyo ya madini Tanzania bila kutaja jina la Dkt Joseph kasheku Msukuma Dkt Joseph Msukuma ndio mtu wa kwanza awamu ya tano kumgomea Waziri wa Fedha wakati huo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais Samia alitamka hadharani kuwa katiba mpya kwa sasa anasubiri kujenga Uchumi kwanza, Je? Rais amegundua hawezi kujenga Uchumi aliofikiria Jaji mstaafu Warioba anatuambia katiba mpya kwa sasa...
0 Reactions
3 Replies
672 Views
Mtaka ulitokea hadharani kupinga, kumshutumu na kumuaibisha waziri wa elimu Prof.Ndalichako kwa sababu ya kuzuia makambi. Ukaenda mbali kwa kusema unapuuza maagizo yake na utafanya vile mkoa wa...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Miaka ya karibuni, baadhi ya watanzania na waafrika kwa ujumla, wamewehukia mikopo ya kutoka China. Tena wengine kufikia kuwadharau wahisani na wakopeshaji wetu wa asili ambao ni mataifa ya Ulaya...
34 Reactions
156 Replies
8K Views
Jaji Warioba anasema katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru wa nchi yetu bado Ajira kwa vijana ni tatizo kubwa. Jaji Warioba ameshauri mfumo wa elimu uangaliwe upya. CHanzo: BBC Dira ya Dunia!
0 Reactions
5 Replies
769 Views
Naunga mkono uwekezaji wenye tija kwa taifa ,hasa kwenye terms and conditions zenye kulinufaisha taifa. Hapa serikali iwe makini sana,kwani msafara wa mamba na kenge wamo ,tusije furahia namba ya...
1 Reactions
5 Replies
779 Views
MJADALA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA,UTV "Namuona Rais John Magufuli kama Mwalimu Julius Nyerere wa pili,kwa nini nasema hivi kwa sababu alikuwa na kila kitu alichokuwa nacho Mwalimu Julius...
0 Reactions
7 Replies
930 Views
Serikali imesema Maabara ya Taifa imekuwa ikichunguza mabadiliko ya kirusi ili kuangalia uwepo wa anuai zinazotokana na mabadiliko ya COVID-19, ikiwemo Omicron na mpaka sasa haijabaini aina hiyo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
By Godbless Lema kupitia twitter: "Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ." Also by Martin Maranja...
21 Reactions
74 Replies
8K Views
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia? Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka...
11 Reactions
103 Replies
9K Views
Back
Top Bottom