Kikao cha Wakuu wa Vyama vya Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kujadili masuala mbalimbali ya kurejesha Nchi kwenye mstari wa demokrasia chafanyika

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,079
8,219
"Leo tumefanya Kikao cha Wakuu wa Vyama vya Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kujadili masuala mbalimbali ya kurejesha Nchi yetu kwenye mstari wa demokrasia.

Viongozi Wakuu wa Vyama wanachama wote wamehudhuria akiwemo Mzee P Mangula Makamu Mwenyekiti wa TAIFA CCM, James Mbatia Mwenyekiti wa TAIFA wa NCCR-M, Dorothy Semu Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Prof Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Taifa wa CUF, John Mnyika Katibu Mkuu wa CHADEMA Na Bwana Rai Katibu Mkuu wa AAFP Chama cha Wakulima Tanzania.

Mkutano umefanya maamuzi muhimu kwa Maendeleo ya Demokrasia na Kituo chenyewe pia. Hatua kubwa na muhimu katika kuliunganisha Taifa na kurudi kwenye Reli ya Demokrasia"

By Zitto Kabwe

Kuna mtu humu kaanzisha mada akimshirikisha Mzee Mangula (Ambaye anaheshimika sana nje na ndani ya chama) na nia zao ovu, haya mzee wako huyu hapa chini.

1638887757824.jpeg

1638887795683.jpeg

1638887817564.jpeg

1638887846673.jpeg

1638887872652.jpeg

1638887892732.jpeg

1638887909717.jpeg

1638887927764.jpeg

1638887948126.jpeg
 
Lipumba kwann ulimfukuza chawa wako kambaya na wenzake?
Hahaha bwana kambaya kaa kwa kutulia umegeuka kuwa CONDOM huwa haina thamani baada ya kutumia
Mlimnyanyasa sana mzee wa watu maalim seif Sharif hamad.
Acha lipumba awanyooshe chaaaawa
 
Back
Top Bottom