Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wasalaam!. Kipindi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu anaanza kupanga safu yake ya uongozi, alisisitiza sana watu wafanye kazi kwa bidii na kuheshimia. Zaidi, alihimiza kuwa yeye hatofoka hadharani...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais...
23 Reactions
63 Replies
6K Views
Nyerere alisema hakuna chama makini kama Chadema wakati huo Mbowe akiwa Katibu Mkuu wa chama, Mkapa akaona isiwe tabu akatunga sheria Mwenyekiti na Mkurugenzi wa NEC wateuliwe na rais lengo likiwa...
32 Reactions
112 Replies
7K Views
Inasikitisha sana tunapoona viongozi waandamizi wa nchi hasa wabunge wakikubali kununua cheap doctorates kutoka vyuo vya kitapeli(rogue colleges). Hiyo inakupa picha kwamba hawa viongozi wetu...
12 Reactions
46 Replies
7K Views
Serikali ya CCM inayoongozwa na rais Samia Suluhu Hassan imetenga na kuipelekea halimashauri ya wilaya ya Chato jumla ya shs billioni 16.7 kwenda kuboresha huduma mbalimbali za jamii wilayani...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mzee Mangula anasema kwenye ilani ya CCM 2020-25 hawakuahidi bandari ya bagamoyo bali waliahidi ghati tu. Hivyo anashangaa mjadala wa ujenzi wa bandari bagamoyo unatoka wapi. Mzee Mangula hapa...
7 Reactions
96 Replies
9K Views
Huu ni umati wa watu waliojitokeza leo kujiunga na Chadema, kwenye mpango wa kisasa unaofahamika kama Chadema Digital huko Bukombe.
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Kila nikitaka kuuza hisa zangu naambiwa haziuziki, sasa ndo kusema nimeliwa au nivute subira? Sasa kwanini wasiturudishie fedha zetu kabla hisa hazijazidi kushuka thamani zaidi? Hvi nitawezaje...
1 Reactions
471 Replies
68K Views
Mh Rais Samia ameamrisha wawekezaji wote wanaotaka kuwekeza kote alikopita na kuwaomba waje waelekeee Zanzibar kwa kile kiachoitwa kongamano la kiuchumi la uhuru wa Tanganyika ambayo ndio ilipata...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu George Marara, Alikua Mbunge Nchini Kenya Miaka ya Sabini. Akiwa katika kamati ya Bunge walipata nafasi ya kwenda Zambia Kikazi kama kamati ya Bunge. Wakati yuko Zambia aliingia Bar...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kampuni ya ELSEWEDY ELECTRIC leo imefungua kiwanda cha vifaa vya umeme kilichopo Kisarawe, Mgeni rasmi alikuwa Mh Samia Suruhu hasani huku akijinasibu kuwa ataendelea kusafiri ili kuwaleta...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma leo jumapili jijini Dodoma, anatunukiwa Udaktari wa Heshima katika siasa na uongozi kutoka Chuo cha Academy of Universal Global Peace cha Marekani...
18 Reactions
117 Replies
13K Views
Ama kwa hakika hali ya jumba bovu aliloliongelea Mama Samia inazidi kudoda: Siasa ni mchezo mchafu ambao ni muhimu kwa mama kutambua kuwa kuanguashiana majumba mabovu ni sehemu ya mchezo...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Kabla ya zoezi kabambe la Usajili kufanyika Musoma Mjini kumefanyika kwanza Semina Elekezi kwa viongozi na wanachama wote . Hali ndio kama mnavyoona wenyewe , Hii ni meza Kuu ikiongozwa na Mkuu...
0 Reactions
4 Replies
689 Views
Habari za mwisho wa Juma wakubwa ma wadogo. Waswahili wanasema kuuliza si ujinga, jana kulifanyika kongamano la kumuenzi Mzee Moses Nnauye, Mwanasiasa Mkongwe na pia Brigedia Mstaafu katika safu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kusema ukweli maisha yangu yamegubikwa na historia inayovutia sana 😃😃🤣🤣😋🤗 hii ni kwasababu tu imenifanya niwe kijana imara na mwenye kujituma sana. Nianze kuwarudisha nyuma kidogo kipindi...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Kusema ukweli maisha yangu nayamegubikwa na historia inayovutia sana na hii ni kwasababu tu imenifanya niwe kijana imara na mwenye kujituma sana. Nianze kuwarudisha nyuma kidogo kipindi naajiriwa...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Kwa wale mliofatilia tukio la kukabidhi hati Ikulu Magogoni kwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania, mtakuwa mlisikia kuwa Balozi mpya wa Italy nchini ni mbobezi wa masuala ya 'Cyber...
9 Reactions
73 Replies
8K Views
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unadharau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais...
14 Reactions
51 Replies
5K Views
We are honored to announce,Mr. Richard Mabala , Educator, Professor and Author will be Speaking at the Education sector symposium this Tuesday @UdsmOfficial Library conference hall. My take...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom