Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Wanabodi Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri. Kwenye visions za trends readings zangu...
14 Reactions
58 Replies
7K Views
La Ndugai limenifundisha mengi. Mwaka 2025 ni mwaka wa Mapinduzi ya kihistoria. Kama Wabunge wenyewe tulio nao ndiyo wa aina hii, bila kufanya Mapinduzi makubwa kabisa ya kihistoria, Tanzania...
2 Reactions
1 Replies
802 Views
Hivi sasa ni kana kwamba vyama vyetu vya siasa havina Jumuiya za Vijana na badala yake Jumuiya za Wanawake kama UWT na Bawacha ndio zinang'arisha vyama. Wako wapi vijana machachari aina ya enzi...
1 Reactions
1 Replies
943 Views
Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa. Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo...
33 Reactions
120 Replies
8K Views
haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu. Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hau ambaye kwa sasa ni mfungwa ndugu Ole sabaya amesema mh Freeman Mbowe aliamini yeye ni mbunge wa maisha wa Hai na alimuona Sabaya kama kikwazo kikuu cha ubunge wake...
8 Reactions
83 Replies
8K Views
Kwanini Makamu wa rais Dk Gharib Bilal hasikiki sana au si maarufu sana kwenye vyombo vya habari? Nilifanya kama kautafiti fulani au kama kautani hivi nikauliza watu wapata 10 au zaidi randomly...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia! Kwa kifupi khanga...
31 Reactions
74 Replies
7K Views
Masoud Kipanya akiwa anahojiwa na BBC amesema alipokea ujumbe kuwa anamuandama sana mama. Masoud kupitia mahojiano na BBC amejitetea kuwa yeye hachori raisi bali anachora uraisi, na anapochora...
14 Reactions
70 Replies
11K Views
  • Closed
Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takriban miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake...
2 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye. Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo...
17 Reactions
74 Replies
5K Views
Sipati Picha Mfano Uhuru Kenyatta wa Kenya amfunge Jela Raila Odinga then Uhuru afanye Ziara kule Kisumu au eneo la Nyanza. Kenya wana utamaduni ambao uko nchi nyingi isipokuwa Tanzania...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Mheshimiwa Rais, naomba nichukue nafasi hii nikupongeze kwa mambo mengi mazuri unayoyafanya ila kwa hili la watu kuanza kupotea kwenye utawala wako tayari ni doa kwenye serikali yako. Wiki mbili...
15 Reactions
70 Replies
6K Views
Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande anasema Tanesco kutumia dola milioni 30 kwa kampuni moja ya India kuweka mifumo ya ufanisi wa kazi(Performance management). Kwa hela ya kitanzania ni kama...
7 Reactions
58 Replies
4K Views
Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu. Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu...
15 Reactions
133 Replies
8K Views
Mkuu wa mkoa wa Mara Salumu Hapi ametoa saa 24 awe amepelekewa majina ya wale wote walioomba, kutoa na kupokea rushwa mkoani humo. Source: Star tv
0 Reactions
18 Replies
1K Views
"Amelaanika aongozwae na mwanamke". Yani kwa sasa Tozonia hata shetani anatushangaa. Tumekua taifa la urojo waTanzania wote ni kama wanawake tu. Kinara wa demokrasia Marekani, ila wao waligoma...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia! Mfano wa matukio kwa uchache! I) Jana tu watu watano huko bahi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Sio siri, kwa mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa siasa za CCM anaweza kugundua kitu kisicho sawa sawa miongoni mwa makundi ya wanaCCM kufuatia tangazo la kuteuliwa kwa Tulia kuwa mgombea kiti...
12 Reactions
35 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…