Kinara wa demokrasia Marekani, ila wao waligoma kata kuongozwa na mwanamke wakaona urais bora wampe Trump

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,876
5,443
"Amelaanika aongozwae na mwanamke". Yani kwa sasa Tozonia hata shetani anatushangaa. Tumekua taifa la urojo waTanzania wote ni kama wanawake tu.

Kinara wa demokrasia Marekani, ila wao waligoma kata kuongozwa na mwanamke. wote kwa pamoja Democrats na Republican wakaamua uraisi bora wampe kichaa Trump kuliko kumpa Hillary Clinton najua hata ingekua mchuano ni kati ya paka nyau na bibie Hillary Clinton kura zingemwangukia nyau.

The smart brains wanatujazaga maujinga ila wao wanajua na "wanatii" kanuni za asili. Mwanaume ni mwanaume tu. Sisi huku na chief Hangaya wetu yupo yupo tu huku nchi ikiendeshwa na familia ya Msoga ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba qmmke huku wananchi wanapambana na bei za bidhaa kupanda, tozo, rushwa imerudi tena, deni la taifa kupaa.

Disclaimer: mimi sio Sukuma gang, wala sio Msoga FC, wala sio Maushungi kwaya, wala sio tem mamboga mboga.
 
Amelaanika aongozwae na mwanamke. Yani kwa sasa Tozonia hata shetani anatushangaa. Tumekua taifa la urojo waTanzania wote ni kama wanawake tu...

A0EF68B8-EB88-4104-8AEA-AF4C5D3A17CC.jpeg
 
Unaona yanayotokea Tanzania? wenzetu waliona mbali
Ulitakiwa kusema, ^Wenzetu wametoka mbali!^ But, don't forget BLM na last January 6, and the like. Normally, huwa hazipiti siku mbili ^tar-two^ bila kusikia US kuna mass shootings, carnage & lynching.
 
Yani mamboga mboga bhana hayanaga akili, hayajui hata kama USA wanafanya chaguzi kila baada ya miaka minne. Oya usinichoshe maswali yako kamuulize Ndugai, tengenezeni group discussion ya Chama Cha Mazuzu.
WALIKATAA LINI HAO USA,KWENYE UCHAGUZI UPI..
 
Attachments

  • 20220108_145440.jpg
    20220108_145440.jpg
    52.7 KB · Views: 7
"Amelaanika aongozwae na mwanamke". Yani kwa sasa Tozonia hata shetani anatushangaa. Tumekua taifa la urojo waTanzania wote ni kama wanawake tu.

Kinara wa demokrasia Marekani, ila wao waligoma kata kuongozwa na mwanamke. wote kwa pamoja Democrats na Republican wakaamua uraisi bora wampe kichaa Trump kuliko kumpa Hillary Clinton najua hata ingekua mchuano ni kati ya paka nyau na bibie Hillary Clinton kura zingemwangukia nyau.

The smart brains wanatujazaga maujinga ila wao wanajua na "wanatii" kanuni za asili. Mwanaume ni mwanaume tu. Sisi huku na chief Hangaya wetu yupo yupo tu huku nchi ikiendeshwa na familia ya Msoga ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba qmmke huku wananchi wanapambana na bei za bidhaa kupanda, tozo, rushwa imerudi tena, deni la taifa kupaa.

View attachment 2092514

Disclaimer: mimi sio Sukuma gang, wala sio Msoga FC, wala sio Maushungi kwaya, wala sio tem mamboga mboga.
Kwwani demokrasi maana yake Nini. Si aliyeshinda kwa kuchaguliwa na watu ndo mshindi na anatanganzwa! Ulitaka wamtangaze tu mwanamke hata Kama hajashinda? Inaonesha we ni popoma wa demokrasia
 
Kwa nini hawakumuua na huyu mama kipindi kile wamemuua yule kichaa ili nchi isishikiliwe na mwenyeuke
 
"Amelaanika aongozwae na mwanamke". Yani kwa sasa Tozonia hata shetani anatushangaa. Tumekua taifa la urojo waTanzania wote ni kama wanawake tu.

Kinara wa demokrasia Marekani, ila wao waligoma kata kuongozwa na mwanamke. wote kwa pamoja Democrats na Republican wakaamua uraisi bora wampe kichaa Trump kuliko kumpa Hillary Clinton najua hata ingekua mchuano ni kati ya paka nyau na bibie Hillary Clinton kura zingemwangukia nyau.

The smart brains wanatujazaga maujinga ila wao wanajua na "wanatii" kanuni za asili. Mwanaume ni mwanaume tu. Sisi huku na chief Hangaya wetu yupo yupo tu huku nchi ikiendeshwa na familia ya Msoga ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba qmmke huku wananchi wanapambana na bei za bidhaa kupanda, tozo, rushwa imerudi tena, deni la taifa kupaa.

View attachment 2092514

Disclaimer: mimi sio Sukuma gang, wala sio Msoga FC, wala sio Maushungi kwaya, wala sio tem mamboga mboga.
Ha! ha! ha!
 
Kwwani demokrasi maana yake Nini. Si aliyeshinda kwa kuchaguliwa na watu ndo mshindi na anatanganzwa! Ulitaka wamtangaze tu mwanamke hata Kama hajashinda? Inaonesha we ni popoma wa demokrasia
We kilaza demokrasia pia inatoa nafasi sawa ya kugombea na usawa wa jinsia na kwa mantiki hyo mwanamke ana nafasi sawa ya kushiriki na kushinda ila walimfanyia figisu kwa jinsia yake asishinde. Umenielewa we nyumbu ?
 
"Amelaanika aongozwae na mwanamke". Yani kwa sasa Tozonia hata shetani anatushangaa. Tumekua taifa la urojo waTanzania wote ni kama wanawake tu.

Kinara wa demokrasia Marekani, ila wao waligoma kata kuongozwa na mwanamke. wote kwa pamoja Democrats na Republican wakaamua uraisi bora wampe kichaa Trump kuliko kumpa Hillary Clinton najua hata ingekua mchuano ni kati ya paka nyau na bibie Hillary Clinton kura zingemwangukia nyau.

The smart brains wanatujazaga maujinga ila wao wanajua na "wanatii" kanuni za asili. Mwanaume ni mwanaume tu. Sisi huku na chief Hangaya wetu yupo yupo tu huku nchi ikiendeshwa na familia ya Msoga ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba qmmke huku wananchi wanapambana na bei za bidhaa kupanda, tozo, rushwa imerudi tena, deni la taifa kupaa.

View attachment 2092514

Disclaimer: mimi sio Sukuma gang, wala sio Msoga FC, wala sio Maushungi kwaya, wala sio tem mamboga mboga.
Tangu lini Marekani imekuwa kinara wa demokrasia? Hillary Clinton alipata kura milioni 3 zaidi ya Trump. Ingekuwa nchi nyingine angekuwa Rais lakini mfumo wa Marekani wa Electoral College ndio uliompa ushindi Trump. Kwa maneno mengine, wamarekani walimchagua Clinton lakini mfumo ukampa ushindi Trump.

Amandla...
 
We kilaza demokrasia pia inatoa nafasi sawa ya kugombea na usawa wa jinsia na kwa mantiki hyo mwanamke ana nafasi sawa ya kushiriki na kushinda ila walimfanyia figisu kwa jinsia yake asishinde. Umenielewa we nyumbu ?
Ukishiriki siyo lazima ushinde. Kama hujashinda kwa kuchaguliwa huwezi tangazwa tofauti na kwetu ambapo ambao hawakushindo ndo waliotangazwa.
 
"Amelaanika aongozwae na mwanamke". Yani kwa sasa Tozonia hata shetani anatushangaa. Tumekua taifa la urojo waTanzania wote ni kama wanawake tu.

Kinara wa demokrasia Marekani, ila wao waligoma kata kuongozwa na mwanamke. wote kwa pamoja Democrats na Republican wakaamua uraisi bora wampe kichaa Trump kuliko kumpa Hillary Clinton najua hata ingekua mchuano ni kati ya paka nyau na bibie Hillary Clinton kura zingemwangukia nyau.

The smart brains wanatujazaga maujinga ila wao wanajua na "wanatii" kanuni za asili. Mwanaume ni mwanaume tu. Sisi huku na chief Hangaya wetu yupo yupo tu huku nchi ikiendeshwa na familia ya Msoga ni mwendo wa kula kwa urefu wa kamba qmmke huku wananchi wanapambana na bei za bidhaa kupanda, tozo, rushwa imerudi tena, deni la taifa kupaa.

View attachment 2092514

Disclaimer: mimi sio Sukuma gang, wala sio Msoga FC, wala sio Maushungi kwaya, wala sio tem mamboga mboga.
Ni vizuri we sio mboga. Maanake tunaona mboga wanapewa vyeo vikubwa.
Hawa watu wako serious kweli?
Sheria za Mungu ni immutable,hazibadiliki kumpendeza mtu yoyote.
Panga litashika tu. Mungu hawezi kukejeliwa au kudhihakiwa.
My ways are different from your ways as the east is different from the west,inasema Biblia.
"Siasa ni uchumi na uchumi ni siasa",anasema rais.
At least ni vizuri. Tunaona they had the good sense kuiondoa ile damning post ya jana.
 
Back
Top Bottom