Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake.
Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la mfano bora? Au tunaenda kufeli na kubaki kuwa taifa la mapambio, unafiki na vijembe kama vya vibarazani watu wakichambua Mchele na kukuna nazi?
Tunawapa six month on probation