Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijui Huyu Waziri Gwajima huwa ana akili gani! Unatumia Bilions of Money ili kuja na Sera yaSserikali ya Kujitolea kuwakandamiza Watanzania. Gwajima ni Mtu mbinafisi sana Gwajima ni mtu mmoja...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania walio wengi siku hizi wanataka usanii sanii tu(msinielewe vibaya wale wasanii wa fani-hii ni lugha ya mtaani) ati maandiko yakiwa marefu kidogo tu humu jf utasikia wachangiaji...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Sio siri tena, hoja ya matumizi ya pesa za serikali ili kununua ndege na ujenzi wa kiwanja kikubwa cha ndege tena cha kisasa katika kijiji cha Chato wilayani Geita ndio inarindima zaidi kwenye...
19 Reactions
88 Replies
8K Views
Binadamu tupo wa aina zote. Wapo watu wa haki, upendo, wema na huruma, hawa ndiyo mfano wa Mungu. Matendo mema ya Mungu yanajionesha kwa walimwengu kwa kupitia wanadamu hawa. Kwa upande...
1 Reactions
0 Replies
524 Views
ZIARA YA WAJUMBE WA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA KASKAZINI PEMBA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika ukaguzi wa ujenzi wa Ukingo wa bahari...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
TZS Bilioni 11 za Rais Samia Suluhu zamtetemesha RC Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema, afanya maamuzi magumu Kishapu, " Hakuna kama Samia " Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema...
20 Reactions
202 Replies
16K Views
=== Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la...
14 Reactions
122 Replies
10K Views
Hakika Rais Samia anaupepo kwelikweli | Aie Holding Ltd kampuni toka Israel kuwekeza TZS 575bl kwenye kilimo na kutoa ajira za moja kwa moja elfu 70 " Hakuna kama Rais Samia " Wakati uwekezaji...
27 Reactions
315 Replies
23K Views
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayowahusu wakala wa misitu Tanzania (TFS) kupiga wananchi wetu hadi kuwavunja miguu kwa kisingizo cha kuwakamata na mkaa au kuwabambikizia kesi zisizo na...
18 Reactions
193 Replies
14K Views
Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Singida lenye majimbo ya Singida Mashariki na Singida Magharibi na kata 26 lililohudhuriwa na DC Jerry Muro limeketi kwa mafanikio Baraza...
5 Reactions
75 Replies
5K Views
=== Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani, === <Mkao...
13 Reactions
228 Replies
20K Views
Financial Times gazeti maarufu duniani linalosomwa na watu milioni 26 kwa mwezi kwa mara ya kwanza nimeona likianza kuisemea vizuri Tanzania baada ya kutuchafua sana miaka mitano iliyopita hasa...
10 Reactions
144 Replies
10K Views
Salaam Wakuu Watenda maovu kwanini hawaogopi kutenda maovu Mkoani Dodoma? Kwanini Hawaogopi muhimili? Dodoma kuna Mifereji ya Damu kutoka ofisi za Magazeti ya Serikali (Habari leo na Daily News)...
10 Reactions
21 Replies
4K Views
Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Rais Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za Serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya...
24 Reactions
115 Replies
10K Views
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka ameitaka Serikali Wilayani ya Bukoba kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalamu na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara...
8 Reactions
103 Replies
7K Views
Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana. <<<Angalia mpaka mwisho >>>
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Katibu wa Halmashauri kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Ndugu. SHAKA HAMDU SHAKA leo Oktoba 31 atazungumza na waandishi wa vyombo vya Habari kuanzia saa 6 mchana ofisi Ndogo za CCM - LUMUMBA Dar es...
5 Reactions
175 Replies
15K Views
=== EU imemmwagia sifa kedekede Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania hasa kwenye Covid-19 EU inasema hali ya hewa kisiasa na Asasi za kiraia ni nzuri na imetengemaa na kila kitu kinakwenda...
18 Reactions
86 Replies
9K Views
RC MAKALLA: UKARABATI NA UJENZI SOKO JIPYA KARIAKOO KUANZA WIKI IJAYO. - Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha Biloni 28 na kuwajali Wafanyabiashara - Asema Wahanga wa soko la...
7 Reactions
55 Replies
5K Views
Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya... "Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU...
26 Reactions
216 Replies
20K Views
Back
Top Bottom