Mara: Wilaya ya Bunda yatumia milioni 60 kujenga msingi wa jengo moja la kituo cha afya

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine

Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.

msingi.JPG
 
Hii awamu mama na wasaidizi wake wawe makini,watu watapiga pesa sana.
 
Huyu Ally aache ujuaji, au ile hotuba ya mama hakuiskia. Mtu kajipimia kamilioni 6 tu, tena ukute ni kamilion 3 tu ye ananuna.

Hapo angesema kwenye hako ka milioni 3 basi hata kamilioni moja kawe kake.

Namshauri mama awaeleweshe vizuri jinsi ya kula kwa urefu wa kamba zao hawa watumishi wake.
 
Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine

Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.
Waibe then wapangiwe majukumu mengine badala ya kushtakiwa?
 
Waripotiwe kwa Waziri Bashungwa na Naibu Dugage.

HIi tabia ikiendelea kuachwa bila kushughulikiwa itaota mizizi.
 
Waibe then wapangiwe majukumu mengine badala ya kushtakiwa?
Awamu ya upigaji hii.
Ukipiga vi milioni stini kwenye halmashauri ndogo unahamishiwa kwenye jiji ambako milioni stini Ni Cha mtoto. Unapiga Tena kufuatana na urefu wa kamba yako (cheo chako) then unapewa ukurugenzi ili ukanunua magodoro ya GSM na vingine home shopping center.
Unaongezewa kamba unakula na wakubwa mijikontrakt mikubwa Kama SGR. Unanunua shamba Dumila kabla ya kuvimbiwa.
Cha msingi msiingiliane
 
Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke majina hayo TAMISEMI wapangiwe majukumu mengine

Hata hivyo mkuu wa wilaya hiyo ameeleza kwamba wakuu wa idara wamekuwa wakinunua vifaa vya ujenzi na kuviacha kwenye maduka hayo kwa kisingizio kuwa hawana stoo ya kuweka vifaa hivyo.

FB04583E-AE4F-48A4-AE23-5B6C8851787B.jpeg

DF52FC46-0401-4274-BEC3-CD617C44A499.jpeg
 
Waangalie
Variable muhimu hapo kuangalia ni: cost vs plan, procurement process kulikua na ushinda ni?
Bill of quantities ipo inaweza leta ulinganisho na hali halisi ya site ilivyo.

Nacho shukuru kwa sasa taarifa zinatoka tofauti na enzi za Giza.Ujue kuna watu wanaamini eti awamu ya 5 watu walikuwa hawajipimii 🤣🤣.

Huwa Nawapa jibu rahisi tuu,wafuatilie taarifa yeyote ya CAG watapatamajibu.
 
Back
Top Bottom