Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati Lissu na genge lake wakiipigia chepuo Tanzania inyimwe misaada mbalimbali ya kibinadamu na kimaendeleo toka EU, Mambo ni tofauti kidogo toka Ubelgiji nchi anayoishi Lissu Kwa kula na...
9 Reactions
62 Replies
5K Views
=== Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa...
7 Reactions
58 Replies
4K Views
=== Hakika mpaka hapa Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha mbele ya Watanzania na dunia jinsi alivyo muumini wa demokrasia na Utawala wa bora, Kama kuna watu wanataka kuvuruga amani na Utulivu wa...
6 Reactions
172 Replies
12K Views
=== Rais Samia Suluhu Hassan ampongeza Bi Joyce Msuya kwa kuaminiwa kwake na kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ( UN ) Bw Antonio Guterres, Bw Guterres amemteua kuwa Naibu katibu mkuu...
19 Reactions
104 Replies
8K Views
Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola...
13 Reactions
88 Replies
7K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan...
11 Reactions
148 Replies
9K Views
=== Chini ya Sheria ya fedha ya Serikali za mitaa sura namba 290 kifungu cha 37 ya mwaka 2019 kila halmashauri inatakiwa kutenga 10% ya mapato yake kwa mwaka kwaajili ya maendeleo ya watu wa...
6 Reactions
130 Replies
9K Views
(Tunafanya Siasa tusiyoijua) Nimeona na kusoma sehemu kadhaa makada na mashabiki wa chama cha Chadema wakilaani taarifa inayokinasibu chama cha ACT wazalendo kuunga mkono juhudi za serikali...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Sielewi hizi takwimu ya kipato cha Mikoa kinachotolewa zina lengo gani haswa, je ni kuonyesha Mkoa upi ni masikini zaidi ya mwingine au ni nini? Na kama ndiyo je, tukishajua Mkoa fulani ni...
1 Reactions
0 Replies
567 Views
Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), marehemu Daudi Ballali KWA UFUPI Kizungumkuti cha kifo chake kimeendelea kuiumiza familia yake kwa kipindi kirefu. Dar na Marekani. Wakati...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Nimesikia sasa hiv taarifa ya habari ya ITV kwamba Bernard Membe akihutubia kwamba Lowassa ameahidi kumfufua mtu, yaani Daudi Balali. Kwamba kama anaweza basi amlete. Jamani tuache kampeni za...
1 Reactions
102 Replies
17K Views
*Wanasiasa walimtumia, mwishowe wakamtosa *Mwisho wake ni somo kuu kwa wasomi Afrika Na Hassan Abbas MAISHA, siku na nyakati za Dkt. Daudi Ballali, aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu hadi Januari 8...
14 Reactions
28 Replies
17K Views
Nchi imekuwa ngumu kutawalika, tunawatafuta machifu Kwa lengo lakuwatumia Kwenye Siasa 2025. Hii inatokana na ukweli kwamba wale wanaoitwa machifu siyo viongozi wa kimila Bali ni wazee wastaafu...
10 Reactions
54 Replies
4K Views
Wanabodi, Serikali inataka kufanya mengi na katika kufanya hayo, inataka kutumia muda mfupi kutekeleza miradi ya kimkakati kama njia ya kupeleka maendeleo kwa wananchi. Labda kuna uwezekano kwa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wacha inyeshe ili tujue wapi panavuja ili turekebishe. Mzee Pius Msekwa spika wa bunge mstaafu amesema hadi sasa wabunge 19 wa viti maalum waliopo bungeni ni batili na halamu na aliyewakubali...
20 Reactions
64 Replies
7K Views
Najua machifu wana mkwara wa kuvaa ngozi za wanyama mbalimbali kuonyesha ujasiri na uimara wa makabila wanayoyaongoza. Ni chifu wa kabila gani anavaa ngozi ya Simba? Maendeleo hayana vyama.
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi; Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo...
78 Reactions
315 Replies
37K Views
Ally Hapi mkuu wa mkoa wa Mara anga'ka baada ya kupata taarifa ya ubadhirifu huo wa fedha za umma ametoa agizo kwa mkuu wa wilaya hiyo JOSHUA NASSARY kumoa taarifa za wote waliohusika ili apeleke...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Wanabodi Hili ni bandiko la Visions na Trends Readings, Visions za Trends Reading sio utabiri, ni maono ya mielekeo. Ni tofauti na maono ya utabiri. Kwenye visions za trends readings zangu...
14 Reactions
58 Replies
7K Views
La Ndugai limenifundisha mengi. Mwaka 2025 ni mwaka wa Mapinduzi ya kihistoria. Kama Wabunge wenyewe tulio nao ndiyo wa aina hii, bila kufanya Mapinduzi makubwa kabisa ya kihistoria, Tanzania...
2 Reactions
1 Replies
802 Views
Back
Top Bottom