Uspika wa Tulia Ackson Hautasaidia lolote Jimbo la Mbeya Mjini, yaweza kuwa ndio mwanzo wa umasikini wa kutisha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,679
218,189
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
 
Pole commander, MWINALYO!
1642684792970.png
 
Hivi ujenzi wa barabara nne au hata mbili kutoka uyole mpaka mbalizi uliishia wapi? hivi kwa ukuaji wa jiji la Mbeya hao waheshimiwa kinachowashinda ninini?jiji kabarabara ka njia moja inashindwa hata na baadhi ya mikoa ambayo sio jiji, shame!
 
Hizo sehemu nyingine walipata Spika lakini hawakupata maendeleo. Labda mjiulize walipokosea, na msifanye hayo makosa.
Yule akaenda kujenga ofisi kijijini kwao!!! Pengine wananchi wake hawakumuambia wanataka nini, akafikiri wanataka ofisi!! Watu wa Mbeya mnataka nini?
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Kwa hiyo wewe ulitaka Spika atoke Afghanistan?
 
Pot dada yako ndo kapitishwa hivyo... endelea kumwombea atekeleze vizuri majukumu yake....vipi ulirudi kutoka ipinda........
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.

Tupo ambao haturidhiki na nomination yake ya uspika. 2025 apigwe chini fasta; asubuhi na mapema!
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Hujawahi msikia Bungeni akipigania barabara? Sasa ana nafasi nzuri zaidi,pia apambane tupate eneo wajenge Chuo Kikuu Cha Afya Udsm na hospital ya kufundishia.
 
Hivi ujenzi wa barabara nne au hata mbili kutoka uyole mpaka mbalizi uliishia wapi? hivi kwa ukuaji wa jiji la Mbeya hao waheshimiwa kinachowashinda ninini?jiji kabarabara ka njia moja inashindwa hata na baadhi ya mikoa ambayo sio jiji, shame!
Hatukuwa na msemaji heavyweight sasa ndio kapatikana.
 
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.

Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo, fanyeni utafiti mdogo ili mjikumbushe, hii inatokana na ukweli kwamba Spika wa bunge la Tanzania ndio muhuri wa kupitisha uchafu wote wa serikali zikiwemo hata bajeti zilizooza, maspika wengi wa nchi hii wanaogopa kupigania maendeleo ya kwao ili kutoonekana wana upendeleo, angalia Ukerewe ya Msekwa ama Kongwa ya Ndugai.

Ndugu zangu wa Mbeya wakati wa maumivu Makubwa umefika rasmi, jiandaeni.
Mkuu mgonjwa wa akili huwa hajijui.
Milembe inakuhusu.
 
Back
Top Bottom