1. Matambiko ya Kimila
2. Uchawi / Ushirikina
3. Utani wa Makabila
MATAMBIKO YA KIMILA
Kuna Makabila mengine yakiamua kufanya Tamaduni zao Jamii huwaona kama vile hamnazo ( Kipa Katoka )
Kwa...
"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na...
Salamu
Kwa mara ya kwanza tangia kuumbwa misingi ya dunia na kuwa na utawala Tanzania yetu haijawahi kuwa na Rais ambae ni jinsia ya kike Mheshimiwa Rais na amiri Jeshi mkuu Mama Samia Suluhu...
Nawashangaa sana watu wanaohusisha Uchifu na ukabila katika zama hizi za utandawazi
Kwa mfano mh Tundu Lisu wa Chadema wakati wa kampeni za urais 2020 alisimikwa kuwa Chifu wa Chato japokuwa yeye...
Kwema wakuu?
Miaka iliyopita mshahara ukitoka tu Maza alikuwa ananiambia nikamtolee fedha yote nitakayoikuta kwenye akaunti yake pindi tu mshahara unapoingia.
Nikifika tu NMB nakutana na foleni...
Imefika wakati sasa kuwe na sheria zitakazoiwajibisha serikali inapodaiwa na wananchi au mashirika binafsi na makampuni binafsi kwani viongozi wengi hasa wakurugenzi wa halmashauri (maDED) na...
Sijawai wasikia kina Hashim Rungwe, Dovutha, kina Zitto, Lipumba, Cheyo na Mrema wakipitia kama aliyoyapitia Mbowe.
Hao viongozi wa vyama pinzani hawajawai filisiwa Kama Mbowe, hawajawai vunjiwa...
Keki ya birthday yake imeliwa leo Mahakamani , ambako mmoja wa waasisi wake ambaye ndio Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi , baada ya wakubwa kuhofia kung'olewa...
Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km...
Nawapongeza wachaga, waarusha, wairaq, wambulu, waMeru na
Wamasai kwa kukataa kutawaliwa. Hawa watu toka enzi ya mkoloni walimkataa mkoloni kwa vitendo, mkoloni alipobaini ni vigumu...
Waungwana salaam,
Najua kuna watu watasema ni mapema mno, lakini kiuhalisia miaka minne siyo mingi ukitahamaki tu uchaguzi huo.
Ninapendekeza Mama Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Rais aliyepo...
Sijui kama ni makusudi au uvivu wa kufikiri, au kuamua kuishi kwa mazoea. Kila mwaka baraza la mitihani wanakuja na majina ya wanafunzi na shule bora katika matokeo ya mitihani ya ngazi tofauti...
Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu...
Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang.
Viongozi wanaoshikiliwa ni...
Wadau habari za mchana huu.,
Nimeona nije na hii kauli ya Mama Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba "Ukinizingua nitakuzingua" na kile kilichotokea hivi karibuni je mama alikuwa...
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufanisi ili kuchangia uchumi wa Taifa.
Mhe. Makamba amesema...
Akihutubia kwenye Tamasha la Utamaduni Kilimanjaro amependekeza yawepo matamasha mengi nchini na akatoa mfano wa Brazil, ni vizuri angeangalia historia ya matamasha hayo ambayo hayahusiani kabisa...
Mhe. Jokate Mwegelo: ZAIDI YA BILIONI 4 KUBORESHA BARABARA TEMEKE.
Kiasi cha fedha zaidi ya shilingi bilioni nne kimetengwa kwa ajili ya kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke...
Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao.
Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.