Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mhe. Jokate Mwegelo: ZAIDI YA BILIONI 4 KUBORESHA BARABARA TEMEKE. Kiasi cha fedha zaidi ya shilingi bilioni nne kimetengwa kwa ajili ya kutatua changamoto za barabara ndani ya manispaa ya Temeke...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
Watu ni wengi sana wakiongozwa na machifu/ watemi wa maeneo yao. Vikundi vya ngoma na sanaa nyingine za Wachagga na Wapare ni vingi sana na bila kusahau vinywaji kikiwemo kinywaji pendwa cha mkoa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza vizuri kwani hii itaondoa malamiko mengi dhidi ya uvunjwaji wa sheria unaoendelea - kusimikana uchifu - kitu kilichopigwa marufuku takriban miaka 60 iliyopita?
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Asante mama kila unachoshika kinazaa matunda bila ubabe Wala mbwembwe za eti kishindo Cha jpm tofauti mtangulizi wako ambaye kitu kidogo tu kelele nyingi. Tumeona watalii wanavyomwagika nchini na...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kumbe ukitaka uchukiwe na wanaCcm basi we ziba mianya yao ya kuiba mali ya umma. Hayati JPM alichukiwa na wanaCcm japokuwa walicheka nae na kumzunguka hio hii ni sababu aliwabana sana juu ya...
15 Reactions
109 Replies
7K Views
UKWELI HUWA HAUNA RAFIKI, SEMA UKWELI UCHUKIWE. Lala pema peponi JEMEDARI NA RAIS WETU KIPENZI DKT JPM. wengine tushakataa kutubu wala kuomba msamaha kwa maana tunatambua kuzaliwa kwetu kuna...
4 Reactions
9 Replies
718 Views
Salaam Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amepata 40% ya bajeti ya Maendeleo. Mkoa bado umeathiriwa na Ukame. ==== TAARIFA FUPI YA MKOA WA KILIMANJARO KWA MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nendeni mahakamani kupinga Tulia kuwania uspika wakati Katiba inamkataza wazi wazi. Tutakuwa Taifa la ajabu kuacha angalau hata kwenda Mahakamani. Najua mahakama iko compromised, but let it be on...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika kesi inayoendelea ya ugaidi ya wakina Mbowe, mashaidi wengi wamekuwa ni police wakiongozwa na Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Cha ajabu uwezo wao waliouonesha kizimbani ni mdogo...
22 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama kuna raia mwema alimtonya Zitto juu ya kuchoma shamba lake na nyumba yake kuwa ulikuwa mpango wa lile kundi la wasiojulikana basi sasa ndio kipindi muafaka cha kuwaumbua hawa watu Zitto naye...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi karibuni Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alitawazwa kuwa Chifu Mkuu Hangaya. Pia leo akiwa Moshi anesema Serikali itashirikiana na Machifu na Viongozi wa jadi. Tawala za Machifu zilipata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna minong'ono kwenye jukwaa letu kuwa jina Mtemi Chenge ndilo liko likely kupendekezwa na chama. Kama hii itatokea kwa kweli nitaamini kuwa kama Taifa hatuko serious. Change ana tuhuma kadhaa...
13 Reactions
107 Replies
8K Views
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno...
76 Reactions
351 Replies
17K Views
Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri. Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Tangu aape kuwa Rais wa sita wa Tanzania ni kama hajui kuwa ilani ya CCM inataka Tanzania iwe ya viwanda mpaka kufikia mwaka 2025 ili kuongeza ajira na uzalishaji nchini. Kwa sasa umeme unasuasua...
7 Reactions
42 Replies
5K Views
Major Airlines Increase Flight Trips to Dar Credit: Edward Q Orro in Arusha TANZANIA'S resilience to the novel Coronavirus disease is now paying off after three major airlines increased their...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Rais Samia ameandika ktk ukurasa wake wa twitter "Nimesikitishwa na taarifa ya kifo cha mke wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Martine Shigella, Bi Magdalena Layda. Pole kwa Mhe. Mkuu wa Mkoa...
8 Reactions
67 Replies
8K Views
Wanajamii, bunge letu limekuwa ndio bunge dhaifu na lilikosa heshima na mvuto kwa nchi zote zinazotuzunguka. Kwa hili la kupangiwa na Serikali cha kufanya lilitakiwa lijikomboe kuanzia sasa...
13 Reactions
65 Replies
5K Views
Kazi iendelee! Ni jambo la kushangaza kwamba Tanzania tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwa mtandao na ubora Wa barabara isipokuwa Burundi. Hivi kama Nchi hatuna dira,malengo na...
9 Reactions
146 Replies
10K Views
Back
Top Bottom