La Ndugai limenifundisha mengi. Mwaka 2025 ni mwaka wa Mapinduzi ya kihistoria. Kama Wabunge wenyewe tulio nao ndiyo wa aina hii, bila kufanya Mapinduzi makubwa kabisa ya kihistoria, Tanzania...
Hivi sasa ni kana kwamba vyama vyetu vya siasa havina Jumuiya za Vijana na badala yake Jumuiya za Wanawake kama UWT na Bawacha ndio zinang'arisha vyama.
Wako wapi vijana machachari aina ya enzi...
Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa.
Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo...
haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu.
Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha...
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hau ambaye kwa sasa ni mfungwa ndugu Ole sabaya amesema mh Freeman Mbowe aliamini yeye ni mbunge wa maisha wa Hai na alimuona Sabaya kama kikwazo kikuu cha ubunge wake...
Kwanini Makamu wa rais Dk Gharib Bilal hasikiki sana au si maarufu sana kwenye vyombo vya habari?
Nilifanya kama kautafiti fulani au kama kautani hivi nikauliza watu wapata 10 au zaidi randomly...
Ni wazi Tamasha la Utamaduni Kilimanjro limeandaliwa na viongozi wa CCM, khanga zilizotumika hazioneshi hata chembe utamaduni wa Kilimanjaro zaidi ya kumuonesha Rais Samia!
Kwa kifupi khanga...
Masoud Kipanya akiwa anahojiwa na BBC amesema alipokea ujumbe kuwa anamuandama sana mama.
Masoud kupitia mahojiano na BBC amejitetea kuwa yeye hachori raisi bali anachora uraisi, na anapochora...
Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takriban miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake...
Kwa vile huyu Dada yangu ameteuliwa na CCM yenye wabunge wote ndani ya Bunge la Tanzania basi bila shaka huyu ndiye Spika ajaye.
Hakuna Jimbo lolote lililowahi kutoa Spika na likapata maendeleo...
Sipati Picha Mfano Uhuru Kenyatta wa Kenya amfunge Jela Raila Odinga then Uhuru afanye Ziara kule Kisumu au eneo la Nyanza.
Kenya wana utamaduni ambao uko nchi nyingi isipokuwa Tanzania...
Mheshimiwa Rais, naomba nichukue nafasi hii nikupongeze kwa mambo mengi mazuri unayoyafanya ila kwa hili la watu kuanza kupotea kwenye utawala wako tayari ni doa kwenye serikali yako. Wiki mbili...
Mkurugenzi wa Tanesco, Maharage Chande anasema Tanesco kutumia dola milioni 30 kwa kampuni moja ya India kuweka mifumo ya ufanisi wa kazi(Performance management).
Kwa hela ya kitanzania ni kama...
Tanzania ya Mwl Nyerere ilijengwa katika misingi ya umoja na ndio sababu kubwa ya kufuta uchifu.
Leo taifa letu lina zaidi ya miaka 60 tangu tupate uhuru anatokea mwanasiasa mmoja anaenzi uchifu...
"Amelaanika aongozwae na mwanamke". Yani kwa sasa Tozonia hata shetani anatushangaa. Tumekua taifa la urojo waTanzania wote ni kama wanawake tu.
Kinara wa demokrasia Marekani, ila wao waligoma...
Siku za hivi karibuni mauji ya wananchi yameonesha kuongezeka na kuripotiwa kwa wingi na hali hii ni hatari kwa usalama wa raia!
Mfano wa matukio kwa uchache!
I) Jana tu watu watano huko bahi...
Sio siri, kwa mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa siasa za CCM anaweza kugundua kitu kisicho sawa sawa miongoni mwa makundi ya wanaCCM kufuatia tangazo la kuteuliwa kwa Tulia kuwa mgombea kiti...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali...
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika.
Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.