Kwanini wanaCCM wengi hawajafurahi au kuridhika na uteuzi wa Tulia kuwa Spika wa Bunge?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,115
35,124
Sio siri, kwa mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa siasa za CCM anaweza kugundua kitu kisicho sawa sawa miongoni mwa makundi ya wanaCCM kufuatia tangazo la kuteuliwa kwa Tulia kuwa mgombea kiti cha spika wa bunge la Tanzania. Yaani iwe ni kundi la Msoga au Sukuma, wote hawajafurahia sana. Kuna ukiwa fulani na sintofahamu ya wazi imejitokeza miongoni mwa makada wa CCM, huku wengi wanaonekana kama hawajaridhika, yaani wameburuzwa!

Nimewaza mambo haya huenda labda yamechangia hili:

1. Labda kwa kuwa Rais ni mwanamke na spika naye atakuwa ni mwanamke?

2. Huenda ni kutokana na watu wengine wazuri waliogombea huku wakitegemewa kupita lakini wakaishia kuachwa?

3. Labda kwa kuwa Tulia hakuanzia siasa ndani ya CCM bali 'aliokotwa majalalani' na kuanza kuzawadiwa vyeo chini ya mwamvuli wa CCM?

4. Ama ni kwakua Tulia tayari alikuwa anashikiria nafasi nyeti ya unaibu spika, hivyo kugombea nafasi ya uspika huku akiwa bado ameshikiria nafasi ya unaibu spika ilikuwa inatoa ishara ya tamaa ya madaraka?

5. Ama kwa kuwa Tulia alikuwa anahusishwa na harakati nyingi za chini chini za muda mrefu za kuhakikisha Ndugai anang'olewa kwenye kiti cha spika?
 
Labda ni wewe tu ndo hujafurahia ila wana ccm wao wamefurahia tu kwakuwa wengi wao ni bendera fata upepo tumbo libaki salama.wengine hata hawaelewi nini kinaendelea na watapiga makofi
 
Sio siri, kwa mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa siasa za CCM anaweza kugundua kitu kisicho sawa sawa miongoni mwa makundi ya wanaCCM kufuatia tangazo la kuteuliwa kwa Tulia kuwa mgombea kiti cha spika wa bunge la Tanzania. Yaani iwe ni kundi la Msoga au Sukuma, wote hawajafurahia sana. Kuna ukiwa fulani na sintofahamu ya wazi imejitokeza miongoni mwa makada wa CCM, huku wengi wanaonekana kama hawajaridhika, yaani wameburuzwa!

Nimewaza mambo haya huenda labda yamechangia hili:

1. Labda kwa kuwa Rais ni mwanamke na spika naye atakuwa ni mwanamke?

2. Huenda ni kutokana na watu wengine wazuri waliogombea huku wakitegemewa kupita lakini wakaishia kuachwa?

3. Labda kwa kuwa Tulia hakuanzia siasa ndani ya CCM bali 'aliokotwa majalalani' na kuanza kuzawadiwa vyeo chini ya mwamvuli wa CCM?

4. Ama ni kwakua Tulia tayari alikuwa anashikiria nafasi nyeti ya unaibu spika, hivyo kugombea nafasi ya uspika huku akiwa bado ameshikiria nafasi ya unaibu spika ilikuwa inatoa ishara ya tamaa ya madaraka?

5. Ama kwa kuwa Tulia alikuwa anahusishwa na harakati nyingi za chini chini za muda mrefu za kuhakikisha Ndugai anang'olewa kwenye kiti cha spika?
wabunge wenyewe wako wapi? Hakuna
 
Huyu aliyepachikwa uspika hajawahi kuipigania ccm , ni chawa wa jiwe tu
 
Binafsi huu ndio uchaguzi wa kwanza kwa hii administration ambao sina shida nao kabisa.
 
Sio siri, kwa mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa siasa za CCM anaweza kugundua kitu kisicho sawa sawa miongoni mwa makundi ya wanaCCM kufuatia tangazo la kuteuliwa kwa Tulia kuwa mgombea kiti cha spika wa bunge la Tanzania. Yaani iwe ni kundi la Msoga au Sukuma, wote hawajafurahia sana. Kuna ukiwa fulani na sintofahamu ya wazi imejitokeza miongoni mwa makada wa CCM, huku wengi wanaonekana kama hawajaridhika, yaani wameburuzwa!

Nimewaza mambo haya huenda labda yamechangia hili:

1. Labda kwa kuwa Rais ni mwanamke na spika naye atakuwa ni mwanamke?

2. Huenda ni kutokana na watu wengine wazuri waliogombea huku wakitegemewa kupita lakini wakaishia kuachwa?

3. Labda kwa kuwa Tulia hakuanzia siasa ndani ya CCM bali 'aliokotwa majalalani' na kuanza kuzawadiwa vyeo chini ya mwamvuli wa CCM?

4. Ama ni kwakua Tulia tayari alikuwa anashikiria nafasi nyeti ya unaibu spika, hivyo kugombea nafasi ya uspika huku akiwa bado ameshikiria nafasi ya unaibu spika ilikuwa inatoa ishara ya tamaa ya madaraka?

5. Ama kwa kuwa Tulia alikuwa anahusishwa na harakati nyingi za chini chini za muda mrefu za kuhakikisha Ndugai anang'olewa kwenye kiti cha spika?
Kamsifia bimkubwa kapewa shukrani
 
Back
Top Bottom