Serikali imefuta Ibara ya 24 iliyokuwa inapendekeza kifungu kipya 47A kwa lengo la kutoa mamlaka kwa polisi kufanya operesheni za kificho kwa madhumuni ya kuzuia utendaji wa makosa.
Akitoa...
Naibu msajili wa vyama vya siasa mh Hemed amevitaka vyama vya siasa kuzingatia uwiano wa kijinsia katika safu zao za uongozi.
Msajili amesema hayo kwenye mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa...
Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa hakuna uongozi wa mtu mmoja, menejimenti ya mtu mmoja, tushikamane kwa pamoja kwa mafanikio ya...
Raisi anasema wananchi wamelala kwa kutokulalamika wakati miradi imekaa miaka mingi . Je tatizo ni wananchi kutokulalamika au wananchi walikuwa wana puunzwa kwasababu ya wabunge kuwa wapinzani...
Wanabodi
Huu mtindo wa viongozi wetu wenye dhamana kutoa kauli za hovyo hovyo, kauli za udhalilishaji na za kimipasho mipasho zinazidi kushika kasi, japo najua wanamuiga nani kwa utoaji wa kauli...
Hivi siku zote hatujiulizi kwanin kila siku anatoa kauli ngumu na bado yupo tu.
Kiufupi jamaa ana sifa zote za kuwa mwanaume anaejiamini tena sio kidogo na kusimamia anachokiamini.
Hatujiuliz je...
Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala, tulichelewe sana kumuona huyu mama, zamani nilikuwa mgumu wa kuamini...
Kuna mswada, mwanasheria mkuu aliuandaa na kuupeleka bungeni ili kuruhusu Polisi kutenda uovu dhidi ya wananchi wawapo katika kazi zao, na wakifanya hivyo, wasishtakiwe. Mswada huo ulikuwa...
FAIDA ZA MRADI WA SGR UKIKAMILIKA
1. Kuongeza soko la ndani na kuimarisha Shilingi ya Tanzania (economy localization) hii ni kutokana treni kutumia umeme utakaozalishwa nchini, kama tungetumia...
Kabla ya kuandika habari hii, nitaanza na kisa kimoja kilichotokea kwenye Gest moja iliyopo Wilaya ya chato siku ya tukio la Kuzima Mwenge kitaifa.
Nikili nilikuwa miongoni mwa walio uzulia...
Anaandika Dk Yahya Msangi (Phd) West Afrika
Kwa kweli Tanzania hakuna vyama vya kuweza kuitoa CCM!
Hebu fikiria: Sasa hivi kuanzia BBC, DW, SPACE mjadala ni nani yuko sahihi kuhusu kuachiliwa...
Habari wana familia ya JF.
Naandika huu uzi nikiwa na hasira sana, kama yatajitokeza makosa ya kiuandishi basi mniwie radhi.Ni muda kama wiki sasa tangu serikali hii dhalimu ilipotangaza mgao wa...
Kwema Wakuu!
Kwanza niipongeze serikali Kwa kufuta huo mswada wa kutaka kuwabeba polisi ati wasishtakiwe wakiwa kwenye majukumu Yao.
Ingekuwa muswada wa hovyo kuwahi kutokea.
Sisi waalimu nasi...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam leo amejibu tuhumu za kukosolewa na waziri wa afya kufuatia kitendo chake cha kumtaja mgonjwa wa Corona ambae ni mtoto wa Mbowe.
Paul Makonda amesema kabla ya...
Amani iwe nanyi.
Leo wakati akichangia bajeti bungeni mbunge wa Ubungo kupitia chama cha democrasia na maendeleo (Chadema) Saed Kubenea amewaonya wote wanaoitukana serikali na kuwataka watambue...
Leo wananchi wa Kigoma wameamua kumtolea uvivu Zitto Kabwe baada ya kuonyesha picha yake akishuka kwenye ndege aina ya bombardier mbele ya Rais Magufuli.
Picha hiyo ilibua shangwe uwanjani hapo...
Mafisadi wanahaha kila kona jinsi ya kujinasua na hii miradi ya matrilioni iliachwa na Magufuli na ambayo inaonwa na wananchi kama kipimo cha utendaji kazi wa serikali ya sasa. Bila kukamilika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.