Faida za mradi wa SGR ukikamilika

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,886
938
FAIDA ZA MRADI WA SGR UKIKAMILIKA

1. Kuongeza soko la ndani na kuimarisha Shilingi ya Tanzania (economy localization) hii ni kutokana treni kutumia umeme utakaozalishwa nchini, kama tungetumia mafuta diesel ambayo ni lazima kuagiza ingeongeza gharama kubwa kwa uendeshaji na matumizi ya akiba ya fedha za nje na Matumizi ya umeme inapunguza garama mara tatu endapo ingetumika mafuta na hali hii itasaidia kupunguza gharama kwa Nchi.

2. Treni za kisasa zitaweza kupunguza mrundikano wa mizigo katika bandari ya Dar es Salaam kwa kuhakikisha mizigo inayowasili bandarini kusafirishwa kwa haraka na kuingizia mapato Nchi.

#AlipoMamaVijanaTupo.
#KaziIendelee

IMG-20220209-WA0000.jpg


IMG-20220209-WA0001.jpg


IMG-20220209-WA0002.jpg


IMG-20220209-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom