Abuu Islam
Utangulizi:
Baraza jipya la mawaziri alilolitangaza Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Januari 8, 2022 limeshtua wengi. Vigogo, wakiwemo walioibuka katika awamu ya awamu ya...
Mbunge wa jimbo la Sengerema mh Khamis Tabasamu amemtumia video Rais Samia Suluhu inayoonyesha ufisadi wa zaidi ya millioni 700 zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la halimashauri hiyo...
Nilikuwa sielewi ule usemi wa sharia ni msumeno unakata ukienda na unakata ukirudi au unakata kote kote, sasa nimeelewa kumbe msumeno pia unakata nje hata ndani.
Tanazania inazidi kujipambanua...
Nimeshangaa sana kwa msimamo wa mama na team nzima ilivyobadili gia angani.
Sawa Hayati hakugusa maisha ya kila mtu na alisema hajaja kuuza sura, kama mbovu iwe mbovu kama hukua upande wake basi...
Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu.
Leo baada ya miaka mingi tumeona...
Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania
Deogratias Mutungi
Hii ni tafakuri fupi inayomulika kipindi cha miaka 45 ya Chama cha mapinduzi CCM katika uongozi wa...
Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake?
Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki...
Wakuu kiukweli wako watu ambao wamebarikiwa ushawishi nchini Tanzania , miongoni mwao ni huyu Mwenyekiti wa Chadema aliyeshikiliwa jela kwa zaidi ya siku 200 , na kwa hakika watu kama hawa humu...
Habari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi...
Waziri wa Nishati, January Makamba amelielekeza Shirika la Umeme (TANESCO) kuhakikisha kwamba pamoja na kadhia ya umeme inayoendelea, Shirika hilo lisijiingize kwenye kukodi mitambo ya dharura...
Kumekuwa na mgogoro mkali wa kibiashara hasa ya Parachichi baina ya Tanzania na Afrika ya Kusini uliodumu kwa mwongo mzima(miaka kumi) sasa bila muafaka wowote.
Mtakumbuka February, 2021 kabla...
1. Wakati Zanzibar hakuna hata soko moja lililoungua huku Tanzania bara masoko manne ya wanyonge yameshaungua na yakiungua unatangazwa ujenzi wa soko jipya ambalo wakubwa watajimilikishia vizimba...
Mabibi na mabwana si busara sana kuukimbia ukweli. Ukweli ni mchungu na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Kumekuwa na mengi kuhusu ACT na Maalim Seif hasa baada ya...
Kibatala: Unafahamu hiyo namba hapo
Shahidi: naona Meseji Kwenda Kwa Mbowe tu
Kibatala: Kwani Meseji hiyo Uliyotuma hiyo Meseji Kwenda Kwa Mbowe, Je ni Namba ipi ya simu
Shahidi: Nilitumia...
Alianza na mkataba wa bil takribani 70 ambao Tanesco iliingia mkataba na Mahindra tech ya India kwa ajili ya kukodi software ambayo itafanya shughuli za Tanesco ziwe za kidigitali na kuongeza...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya...
Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya
Msanii wa kizazi kipya Ras Mtimanyongo anasema tuombe Jah atupe uzima ili 2030 tumshuhudie Magufuli mwingine akitokea ama CCM au Upinzani
Ras anasema safari aliyoianzisha Magufuli ni lazima...
Habarini ndugu zangu wa Tanzania.
Naomba nikiri kwanza kabisa mimi sio mwandishi mzuri hivyo kama nitakua nimeenda tofauti kidogo nipo tayari kurekebishwa.
Mimi sio mwanasiasa na wala sio...
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, amezua utata wa mavazi aliyovaa wakati akipewa heshima ya jeshi la polisi (saluti) wengi wakisema ni kama dharau kwa askari, Maofisa na Jeshi hilo la polisi.
RC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.