Saed Kubenea awaonya wabunge wanaoshinda mitandaoni wakiitukana Serikali

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Amani iwe nanyi.

Leo wakati akichangia bajeti bungeni mbunge wa Ubungo kupitia chama cha democrasia na maendeleo (Chadema) Saed Kubenea amewaonya wote wanaoitukana serikali na kuwataka watambue dhamana kubwa walizopewa na wananchi za kuwa wabunge.

Saed Kubenea ametolea mfano kuna baadhi ya wabunge wanashinda Twitter wakibeza na kutukana hovyo serikali huku wakisahau kuwa wabunge hao wamepewa heshima kubwa na wananchi ya kuwa bungeni kuishauri na kuiunga mkono serikali.

My take .

Kwa hili pamoja na kwamba elimu ya Saed Kubenea ni ya hapa na pale lakini anaonekana ana akili nyingi mno na maarifa kuwazidi wabunge wengi wa chadema ambao badala ya kushinda majimboni wakitimiza ahadi zao ,badala yake wamegeuza Twitter ndiyo majimbo yao ya kuvurumishia matusi na kutetea mafisadi na mabeberu kama ile sinema ya tutashitakiwa MIGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
anatumia akili zake za mwishoni kabla hajabadilika na kuwa msukule wa chama kingine
 
..hakuna confusion hapo.

..huo ni UHURU wa mawazo.

..wabunge lazima watofautiane kimawazo.

..tatizo la ccm tofauti za kimawazo wanachukulia sawa na uhaini.

Halafu itakuwaje kama kweli ni uhaini? Just thinking loud
 
..hakuna confusion hapo.

..huo ni UHURU wa mawazo.

..wabunge lazima watofautiane kimawazo.

..tatizo la ccm tofauti za kimawazo wanachukulia sawa na uhaini.
Una ushahidi nani amefunguliwa kesi ya uhaini? Au ndio majungu yenyewe?
 
Back
Top Bottom