Kishindo kingine cha Rais Samia katika SGR; TRC yaingia mkataba na kampuni ya China ununuzi wa behewa 1,430

Tanzania Railways Corp

Senior Member
Mar 23, 2018
194
471
VIDEO

KISHINDO

Mkataba 1 Behewa za SGR 08.02.jpg
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
17,070
46,618
Sasa hicho kishindo cha Rais Samia kiko wapi hapo? Si suala la kawaida tu hilo! Mnakopa ili kununulia hayo mabehewa, na baadaye Watanzania tutatakiwa kulipa huo mkopo na riba juu kupitia kodi na hizi tozo mlizo tuanzishia?

Kwa nini wataalam tunao wategemea, mnapenda kutanguliza siasa na kujipendekeza kwenye mambo ya msingi? Kiukweli mnaboa sana.
 
Bejamini Netanyahu

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
65,242
69,305
Sasa hicho kishindo cha Rais Samia kiko wapi hapo? Si suala la kawaida tu hilo! Mnakopa ili kununulia hayo mabehewa, na baadaye Watanzania tutatakiwa kulipa huo mkopo na riba juu kupitia kodi na hizi tozo mlizo tuanzishia?

Kwa nini wataalam tunao wategemea, mnapenda kutanguliza siasa na kujipendekeza kwenye mambo ya msingi? Kiukweli mnaboa sana.
Kishindo kwa maana wanaenda kupiga rushwa ndefu kwenye manunuzi
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,632
13,979
Kasi ya mama ni ya hali ya juu sana, hana kelele kama yule wa zamani, wa zamani angekuwa amekauka mate muda huu, SSH mama maendeleo.
#maendeleoBiriani
Serikali ya mama ina pesa,Kodi inakusanya,analeta wawekezaji na biashara zinanawiri,bandari kila siku mizigo inaongezeka na pia watumishi wanapiga Kazi bila kufokeana ,utalii umeanza kufunguka,madini yanachimbwa,mikopo na misaada anapata bila ku struggle ..

Ukweli ni kwamba hadi 2025 Samia atawafunika wote na wimbo itakuwa mi 10 tena.😄😄
 
Ugm bin champion

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
1,374
3,385
Siasa za kinafiki na sifa za kupuuzi zikizid inakuwa kero.

Yaan kununua hayo makitu ndyo muanzr sifa na shangwe? Sometimes huwa mnaonekana washamba hata kwa hao wanaowakopesheni na kuwauzia hayo makitu.

Sifa za kipumbavu
 
chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
8,764
12,028
Serikali ya mama ina pesa,Kodi inakusanya,analeta wawekezaji na biashara zinanawiri,bandari kila siku mizigo inaongezeka na pia watumishi wanapiga Kazi bila kufokeana ,utalii umeanza kufunguka,madini yanachimbwa,mikopo na misaada anapata bila ku struggle ..

Ukweli ni kwamba hadi 2025 Samia atawafunika wote na wimbo itakuwa mi 10 tena.😄😄
Mama Samia ni Rais wa mfano Afrika, nchi imetulia lakini inakwenda kwa Kasi ya 4G, mpaka wale wa upande wa pili wamebaki kuimba ,katiba,katiba,katiba, hivi katiba ndio anataka mwananchi? Mwananchi anataka kuteleza na reli awahishe mazao sokoni, hakika mfupa umempata mwenyewe, nani kama Samia suluhu? Bara mpaka Zanzibar, amefunikaaa
 
chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
8,764
12,028
Siasa za kinafiki na sifa za kupuuzi zikizid inakuwa kero.

Yaan kununua hayo makitu ndyo muanzr sifa na shangwe? Sometimes huwa mnaonekana washamba hata kwa hao wanaowakopesheni na kuwauzia hayo makitu.

Sifa za kipumbavu
Hiyo ilani, mabehewa ya kisasa yanakuja, tunaenda kuteka soko la Rwanda,Uganda na Burundi pamoja na congo DRC, mzigo inafika mpaka sebuleni kwa mteja kutoka bandarini, yale mambo ya gari za IT kuangushwa na madereva wakati wa safari yanafikia mwisho, kitu ikitoka Japan au ujerumani, kama ilivyo, inafika
 
Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
8,061
18,436
Aya mabehewa wananua tuu sijui wataweka wapi. Hii ni story ya 3 kutoka kandarasi tatu nasikia ya mabehewa
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,632
13,979
Siasa za kinafiki na sifa za kupuuzi zikizid inakuwa kero.

Yaan kununua hayo makitu ndyo muanzr sifa na shangwe? Sometimes huwa mnaonekana washamba hata kwa hao wanaowakopesheni na kuwauzia hayo makitu.

Sifa za kipumbavu
Kwa hiyo ukifanya jambo la maendeleo usifurahie sio? Wewe wivu na kijiba cha roho vitakutesa Sana.
 
9 Reactions
Reply
Top Bottom