Hongera Rais Samia Suluhu Hassan tunaanza kuiona Paradiso, angalia usihangaike na vipofu wasioona

Mtondoli

Member
Nov 9, 2021
70
174
Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala, tulichelewe sana kumuona huyu mama, zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu kama huyu

Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo wake umebeba matamanio makubwa tuliyonayo sote. Wapinzani ni sawa na watoto anaweza kulilia chakura hata kama hakijaiva. Tusihaingaike na makelele ya watu wasio elewa waelekee wapi nampongeza sana huyu ndiye malkia wa nguvu 2021
 
Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora.Rais Samia suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala,tulichelewe Sana kumuona huyu mama,zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu Kama huyu .Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo wake umebeba matamanio makubwa tuliyonayo sote.wapinzani ni sawa na watoto anaweza kulilia chakura hata Kama hakijaiva .tusihaingaike na makelele ya watu wasio elewa waelekee wapi nampongeza Sana huyu ndiye malkia wa nguvu 2021
Kazi iendelee
 
Naamini awamu hii dau limepanda toka Buku7 hadi 20,000 per praising text maana spidi hii si ya kawaida hadi maboya wengine wanajikuta wanaishia kupraizi kwenye heading tu huku ndani ya uzi tajwa hakuna mfano dhahiri wa jambo lolote zuri lililofanywa. Content yenyewe unakuta iko shallow bin kidimbwi
 
Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora.Rais Samia suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala,tulichelewe Sana kumuona huyu mama,zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu Kama huyu .Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo wake umebeba matamanio makubwa tuliyonayo sote.wapinzani ni sawa na watoto anaweza kulilia chakura hata Kama hakijaiva .tusihaingaike na makelele ya watu wasio elewa waelekee wapi nampongeza Sana huyu ndiye malkia wa nguvu 2021
Umeandika kweli tupu.Huyu ni Rais mwenye kuona mbali.Mungu ampe afya na uzima.
 
Sio kwamba hawaoni mkuu. Wanaona sana ila uvivu wao na njaa zao ndo zimesababisha vijana wauze utu wao. Wengi wao wanakataa machoni na kukubali moyoni.
 
Leo Ni sikukuu kubwa kabisa duniani kote
Sehemu kubwa sana ya Dar haina maji
Unatuambia Nini katika hili?
Waziri yupo, katibu mkuu yupo, Wakurugenzi wapo. Maji Ruvu yapo, Umeme upo.

Nini shida!?
 
Akijamba mtoto ni mavi,akijamba mtu mzima anapumua tu
Naamini awamu hii dau limepanda toka Buku7 hadi 20,000 per praising text maana spidi hii si ya kawaida hadi maboya wengine wanajikuta wanaishia kupraizi kwenye heading tu huku ndani ya uzi tajwa hakuna mfano dhahiri wa jambo lolote zuri lililofanywa. Content yenyewe unakuta iko shallow bin kkidimb
 
Sio kwamba hawaoni mkuu. Wanaona sana ila uvivu wao na njaa zao ndo zimesababisha vijana wauze utu wao. Wengi wao wanakataa machoni na kukubali moyoni.
Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora.Rais Samia suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala,tulichelewe Sana kumuona huyu mama,zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu Kama huyu .Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo wake umebeba matamanio makubwa tuliyonayo sote.wapinzani ni sawa na watoto anaweza kulilia chakura hata Kama hakijaiva .tusihaingaike na makelele ya watu wasio elewa waelekee wapi nampongeza Sana huyu ndiye malkia wa nguvu 2021

Hata kipindi cha yule rais muovu aliye kuzimu, waliofaidika na madaraka yake walikuwa na chorus hizi hizi.
 
Praise and worship team unaamua kusifia kwanza halafu sababu itakuja yenyewe.
Tozo zimepanda
Bidhaa zimepanda
Machinga waliokuwa wanapata kipato sababu serikali haijatengeneza ajira za kutosha Leo wametimuliwa kama wahamiaji wa Ethiopia
Wapinzani wake kuwabambikia kesi ya ugaidi
Wa michongo wanamsifia huku
Ukimshangaa Bata kuharisha utakutana na mbuzi anaekunya mavi kama karanga
 
Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora.Rais Samia suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala,tulichelewe Sana kumuona huyu mama,zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu Kama huyu .Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo wake umebeba matamanio makubwa tuliyonayo sote.wapinzani ni sawa na watoto anaweza kulilia chakura hata Kama hakijaiva .tusihaingaike na makelele ya watu wasio elewa waelekee wapi nampongeza Sana huyu ndiye malkia wa nguvu 2021
Ila sasa kwa nini Mawaziri hawamsaidii Rais kusema?

Saizi kuna mfumuko wa bei Tzn na chanzo kikubwa ni mfumuko wa bei unaendelea Duniani kote.

Lakini si mawaziri wala watu wa TBS wanaotoka hadharani kumsemea Rais matokeo yake watu wa kawaida wasiojua wanamsema na kumchukia Rais kwa jambo ambalo liko nje ya uwezo wa Nchi..

Tzn kama net importer wa kila kitu ,tuna import inflation

Screenshot_20211218-160317.png

Screenshot_20211217-232058.png

Screenshot_20211217-232143.png

Screenshot_20211217-082816.png

Screenshot_20211217-083223.png

Screenshot_20211217-063204.png

Screenshot_20211216-143808.png

Screenshot_20211216-062627.png

Screenshot_20211216-062244.png

Screenshot_20211216-201427.png

Screenshot_20211214-063622.png

Screenshot_20211213-065227.png

Screenshot_20211212-222910.png

Screenshot_20211212-222430.png

Screenshot_20211212-222515.png
 
Praise and worship team unaamua kusifia kwanza halafu sababu itakuja yenyewe.
Tozo zimepanda,
Bidhaa zimepanda
Machinga waliokuwa wanapata kipato sababu serikali haijatengeneza ajira za kutosha Leo wametimuliwa kama wahamiaji wa Ethiopia
Wapinzani wake kuwabambikia kesi ya ugaidi
Wa michongo wanamsifia huku
Ukimshangaa Bata kuharisha utakutana na mbuzi anaekunya mavi kama karanga
Hamia Nchi mojawapo Kati ya hizi hapa huko yote uliyosema ni bei Chee

Screenshot_20211212-222430.png

Screenshot_20211212-222515.png

Screenshot_20211212-222910.png

Screenshot_20211213-065227.png

Screenshot_20211212-223341.png

Screenshot_20211214-063622.png

Screenshot_20211215-081733.png

Screenshot_20211216-062244.png

Screenshot_20211216-062627.png

Screenshot_20211216-143808.png

Screenshot_20211217-063204.png

Screenshot_20211216-201427.png

Screenshot_20211217-062828.png

Screenshot_20211217-083223.png

Screenshot_20211217-082816.png

Screenshot_20211217-232058.png

Screenshot_20211217-232143.png
 
Back
Top Bottom