Wananchi kuzubaa kwenye miradi yao. Je, tatizo ni Wananchi au Wapinzani?

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,608
8,749
Raisi anasema wananchi wamelala kwa kutokulalamika wakati miradi imekaa miaka mingi . Je tatizo ni wananchi kutokulalamika au wananchi walikuwa wana puunzwa kwasababu ya wabunge kuwa wapinzani?

Mimi siamini kwamba wabunge wa Chadema walikuwa hawapeleki malalamiko serikalini. Imefika mahala mpaka Raisi anaona watu wamezubaa! Hii ndiyo sababu moja nilisema bunge la chama. kimoja sio zuri kwa taifa.

Yaani wananchi mpaka waelimishwe kwamba pesa ni zenu na miradi ni yenu sio ya Raisi au Chama chochote!!


 
Back
Top Bottom