Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Picha Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum Dkt. Dorothy Gwajima, amesema, masuala ya changamoto za Machinga ikiwemo kuhamahama, watazungumza na...
1 Reactions
0 Replies
646 Views
Habari wakuu! Gazeti la RAIA mwema Leo limetoka na habari kuu yenye kichwa cha habari Makonda ni nani? Yule mchimba mchanga, mkata mkaa? Na mimi nauliza ndiye yule au mwingine? ======== LEO...
4 Reactions
118 Replies
28K Views
Elimu Dodoma ; - Uongozi wa Mkoa Umewazawadia kwa kuwalipia Ada ya miaka 2(Form Five na Form Six). Zawadi hii ni kwa wanafunzi wote waliofaulu mitihani ya kidato cha nne kwa kupata Daraja la...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
"Wapo watu wanakula urefu wa Kamba na wanavimbiwa, hivi hawa watu wana uhalali wa kutuambia sisi tuishi maisha ya uadilifu? na mimi nitakuwa nauliza na wewe unakula kwa urefu wa kamba? kama ndio...
43 Reactions
261 Replies
18K Views
Matukio makubwa yanayoendelea hapa nchini Tanzania ni kuhusu mauaji, wapo wanaowaua wengine na wengine wanajiua, daa! Bongo hali mbaya. Lakini upande wa pili kuna kesi na taarifa kadhaa kuhusu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati tunaiona serikali ya awamu ya tano tulikua na picha halisi ya wapi tunaelekea kama Taifa. Malengo ilikua ni kuhakikisha kuwa Tanzania inakua nchi ya viwanda. Ili kutimiza lengo hilo swala...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dk.Freddy Manongi kwa kukiuka...
2 Reactions
26 Replies
48K Views
Kiuhalisia, wakati wa awamu ya 5 mifumo mingi ya utawala au ilivurugwa au iliuawa kabisa. Moja ya taasisi zilizouawa ni Bunge. Wabunge walipatikana kwa kupitia uchaguzi bandia. Wabunge hawa...
2 Reactions
1 Replies
847 Views
Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini. Huyu so-called Shangazi is caping...
16 Reactions
107 Replies
11K Views
#Kaziiendelee Kuna viingozi wa kisiasa ambao mara nyingi huwatuhumu na kuwashtaki wakurugenzi na Wakuu wa Idara mara kwa mara. Wanaweza wakawa na hoja lakini pia wanaweza wakawa ni sehemu ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
NUKUU YA HOTUBA YA KATIBU MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI OFISI YA CCM WILAYA MUSOMA VIJIJINI 02 FEBRUARI 2022 "Uamuzi wa kuanza kuyaunganisha Mataifa ya Tanganyika na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi...
17 Reactions
40 Replies
4K Views
Dada yangu Dkt. Tulia, tunajua uliitamani sana hii nafasi, na hatimaye wabunge wote ndani ya bunge la JMT wakakupigia kura ya NDIOO, Ukapita. Ukiachana na 'favourite' unayoipata katika utawala...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Rais wa JMT amefyekelea mbali upigaji wa Fedha za umma ambao uliandaliwa wa watendaji wa Serikali kwa ajili ya kufanya zoezi la uwekaji wa Anuani za Makazi. Awali...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukosekana Mfumo wa uhakika wa utambuzi wa Wakazi na Makazi umepelekea athari nyingi kiuchumi, kiusalama na kijamii. Amesema manufaa ya Mifumo hiyo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura...
67 Reactions
533 Replies
47K Views
Usije ukathubutu kutumia cheo ulichopewa kuumiza wengine , kwa vile hawana uwezo wa kukufanya chochote . Kumbuka IKO MIKONO YA MUNGU AMBAYO HAIZUIWI NA CHOCHOTE , yaweza kukufanya chochote wakati...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimemsikia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi , Mh Hamad Masauni akiitisha kikao cha Wakuu wa Polisi Nchi nzima ili kujadili masuala ya mauaji yaliyoibuka upya nchini Tanzania , huku tukio la mauaji...
21 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuanzia Januari 29 hadi Februari 6, 2022 visa vipya 252 vya COVID19 vilibainika kati ya watu 8,529 waliopimwa huku Dar es Salaam ikiongoza kwa kuwa na maambukizi 184. Tangu Mlipuko kuripotiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anahudhuria kikao kazi cha wakuu wa mikoa wote jijini Dodoma leo. Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia Makamu...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom