Huyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa kuhoji mpaka kufikia muda wa kuhairisha ili siku...
Umoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone...
Mkurugenzi wa Magonjwa ya kitropiki kutoka WHO , Dr Mwele Malecela amesema wataalamu wa sekta mbalimbali wafanye kazi kwa kuzingatia weledi bila woga.
Dr Mwele kwa sasa anafanya kazi Makao Makuu...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo duniani (IFAD) Bi. Jacqueline Machangu-Motcho...
Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya...
Habari wanajamvi!
Nazungumzia Rais kushitakiwa amalizapo muda wake (kama alifanya makosa akiwa madarakani).
Asili ya sisi Waafrika (watu weusi) ni kupenda kukomoana, majungu na visasi...
Nimegushwa na kauli hii ya Wakili wa Serikali katika kesi ya Mbowe na wenzake;
Wakili wa Serikali Nassoro Katuga: Mheshimiwa Jaji Tumesikia Hoja ya Wenzetu Kutoka kwa Wakili Peter Kibatala...
Kinacholisumbua taifa letu la Tanzania kwa sasa ni kwamba watu hawajakaa kwenye nafasi zao kama walivyojaaliwa na mwenyezi Mungu kwa karama walizopewa.
Kazi za Wito yaani kiutumishi kwa mujibu wa...
Dr. Mwele alijua yuko sahihi na wao walijua yuko sahihi ndio maana hadi leo hawaachi kumtaja.
Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 16 si kwa sababu alikuwa na kosa, bali kosa lake ni kuuzungumza...
Rais wetu mpendwa mleta maendeleo mtetezi wa wanyonge,ombi letu kwenye matukio makubwa kama haya ya kitaifa Rais muondoeni mkuu wa mkoa kwenye ratiba
Aje yule kaimu japo sisi/mimi ni ccm na...
Chama cha ACT Wazalendo kimeunda Baraza la Mawaziri kivuli ambalo jukumu lake litakuwa kuisimamia na kuishauri serikali.
Zitto Kabwe amesema chama chake kimeamua kuziba ombwe lililosababishwa na...
Wanabodi,
Inabidi tusome nyaraka za wakati katika kipindi ambacho wapinzani wanaishiwa nguvu. Labda kupungua kwa ushawishi wa vyama vya upinzani umesababishwa na chama tawala. Vile vile labda...
Rais wa nchi akizindua mitambo ya umeme pale Kinyerezi hapa jijini DSm amesema "Nilianza kazi ya Urais na mgao wa umeme, namaliza pia na mgao wa umeme, kazi kweli kweli".
Rais wa nchi yetu...
Wanabodi
Niko eneo la Kinyerezi kuwaletea Uzinduzi wa Mtambo Wa Gesi wa Kinyerezi 1 unaifanywa na Rais Dr. Jakaya Kikwete.
Kwa sasa wangeni mbali mbali wakiwemo mabalozi wanaoziwakilisha nchi...
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo;
AWAMU YA 6 KAZINI
Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi...
Waziri mkuu mh Majaliwa Kassim Majaliwa amesema patahitajika umakini mkubwa sana kama itaonekana kuna haja ya kuligawa Shirika la Umeme Tanesco.
===
Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Waziri...
Waswahili wanasema unapoupanda mti wa mchongoma miba inakuwa juu hivyo macho yanaona na unaikwepa ILA wakati wa kushuka miiba iko chini na nyayo/miguu haina macho hapo ndio kwenye kasheshe.
Ndipo...
Hivi karibuni Scotland itapiga kura ya maoni (Referendum) kuamua kwamba inataka kubaki katika United Kingdom ama laa.
Kura hii ni muhimu sana kwa mustakabali wa nchi ya Scotland ambayo kwa miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.