Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,197
- 2,025
Habari wana familia ya JF.
Naandika huu uzi nikiwa na hasira sana, kama yatajitokeza makosa ya kiuandishi basi mniwie radhi.Ni muda kama wiki sasa tangu serikali hii dhalimu ilipotangaza mgao wa umeme kwa umma ila uhalisia mgao wa umeme ulianza muda sana tangu waziri makamba aingie pale wizarani.
Kusema ki ukweli huu mgao umegusa mfupa wa Watanzania wengi na kwa kiasi kikubwa na wengi wao wamebaki kulalamika chini chini huku wakilia na kusaga meno bila kutoa sauti.
Mimi kama mtanzania wa kawaida mwenye kipato cha kati ninazo project zangu kama nne ambazo zinahitaji umeme kwa kiasi kikubwa ili ziende, ila kwa hali hii ya nchi yangu ilipofikia ya kukosa umeme wa uhakika yaani kutwa nzima hakuna umeme inakuwa ngumu kujikwamua.
Nawaomba watanzania wenzangu hiki kilio tusilie wenyewe tena kwa kuzuia sauti isotope, bali tufanye maandamo makubwa nchi nzima ili kuishinikiza mamlaka iliyolala kama pono kufanya maamuzi ya haraka.
Umeme umeme umenifanya wikii yote nakosa usingizi.Mwezi wa 4 mwenye frem anataka kodi yake. Mama Samia hakika hautufai.