Msajili wa vyama vya siasa avitaka vyama vizingatie uwiano wa kijinsia katika safu zake za Uongozi kuanzia juu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Naibu msajili wa vyama vya siasa mh Hemed amevitaka vyama vya siasa kuzingatia uwiano wa kijinsia katika safu zao za uongozi.

Msajili amesema hayo kwenye mkutano wa viongozi wa vyama vya siasa ulioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake.

Chadema na ACT wazalendo wanahusika sana na agizo hili.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ahakikishe chama chake kimezingatia na kimefanikiwa Kwa usawà bila upendeleo na Kwa ufanisi, na wengine huenda wakaona faida ya wazo Hilo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom