Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kila kukicha ni malalamiko ya wananchi juu ya ndugu zao kuumizwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa jeshi la polisi. Mbaya zaidi hakuna hatua zinazochukuliwa ili kuwashitaki wanaofanya haya matendo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu amesema yeye na Rais Samia wamefahamiana tangu wakiwa bungeni na mahusiano yao yamekuwa mazuri wakati wote Tundu Lisu amesema mama Samia ni mtu mwenye...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Kutoka Oysterbay, Dar: Mkuu wa Mkoa, Ndg. Paul Makonda yupo mbashara, katika maadhimisho ya Mwaka Mmoja tangu awe Mkuu wa Mkoa. Fuatana nasi: au ====== Sirro: Langu ni moja tu, kazi hii ni...
25 Reactions
807 Replies
77K Views
Siyo siri kuwa Chadema kimepitia katika dhuluma na manyanyaso yasiyo kifani kutokea kwa mamlaka: 1. Hivi karibuni mwenyekiti wake amekuwa kizimbani kujibu mashtaka yasiyokuwa na kichwa wala...
5 Reactions
11 Replies
823 Views
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi. Bado...
111 Reactions
1K Replies
114K Views
Happy Friday JF massive. To those of you in the anti-Magufuli brigade who are chagrined that what you had hoped for and prayed about didn’t pan out, maybe better luck next time. To those of you...
14 Reactions
130 Replies
11K Views
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Neema amehoji kwa nini biashara za mtandaoni hazitozwi kodi kama biashara nyingine zinazofanyika nje ya mtandao. Mbunge huyo...
4 Reactions
141 Replies
10K Views
Waungwana, Hadi sasa kuna fukuto, tangu Mbowe asamehewe na Rais Samia kutoka jela hawana maelewano na Lissu. Kuna watu ndani ya Chadema mioyoni mwao walitamani Mbowe asitoke jela. Muda...
9 Reactions
65 Replies
6K Views
Nikwambie tu, hautafanikisha lolote katika utendaji wa hawa vijana ,uwezo wao kiuongozi na kiutawala ni too low sana ,wanatembelea nyota za wazazi wao, Kitendo cha kumtoa Palamagamba,Lukuvi ,na...
32 Reactions
99 Replies
7K Views
Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA. Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari...
26 Reactions
176 Replies
12K Views
Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam. Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana...
30 Reactions
392 Replies
52K Views
Wanabodi, Kiongozi yoyote akilitenda jambo analoliamini, litafanikiwa sana kwa sababu utekelezaji wake utakuwa unahusisha the powers of will, kulifanikisha na kutekeleza jambo usiloliamini ni...
22 Reactions
137 Replies
19K Views
Mfa maji siku zote haachi kutapatapa, atashika hata jani alimradi limuokoe. Saa tano asubuhi hii kada wa CHADEMA Fredrick Sumaye anaongea na waandishi wa habari kutafuta huruma kwa wananchi ili...
11 Reactions
141 Replies
20K Views
Kwa mara ya mwisho tuliambiwa Tume hiyo imeongezewa siku 7 ili kukamilisha Uchunguzi, lakini sasa ni kitambo kirefu kimepita baada ya hizo siku 7 kumalizika na Majibu hakuna. Ni lini serikali...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Sifa za kiongozi ni pamoja na uadilifu wa matumizi ya fedha zinazotolewa kwa ajili ya maendeleo ya Watanzania. Asiye na sifa hiyo hastahili kuwa mtumishi wa Watanzania. Ni mapema sana kuyasema...
11 Reactions
93 Replies
9K Views
Ukishaona Serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuwa kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazimi uwe madhubuti na strong. Msitegemee...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Freeman Mbowe kwa sasa ni mtu huru kama ilivyo kwa jina lake, kesi yake ilifutwa na Mahakama Kuu, mmoja wa watu waliokuwa wakipiga kampeni ya kuhoji juu ya kesi aliyofunguliwa Mbowe na wenzake...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Sasa ni rasmi tunaelekea siasa za Ulaya na Marekani. Siasa za maendeleo. Siasa za kistaarabu. Zile siasa za kutafutana kuuana, kutekana, kufungana na kufilisiana mali Mh Rais Samia ameona hazina...
30 Reactions
174 Replies
9K Views
Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini: "Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari zilizonifikia mida hii zinasema Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya EML Francis Anthony Ciza Majey (DJ Majizzo), na yeye yuko central. Katika yale majina 112 inasemakana jina la majizo...
5 Reactions
75 Replies
36K Views
Back
Top Bottom