MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,619
- 21,361
Habari zilizonifikia mida hii zinasema Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya EML Francis Anthony Ciza Majey (DJ Majizzo), na yeye yuko central. Katika yale majina 112 inasemakana jina la majizo liliongoza list, so wanaendelea kushuka chini tutegemee kuona wapendwa wetu wakiendelea kuchukuliwa mmojammoja.
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya EML na Radio E- FM Francis Anthony Ciza Majey (DJ Majizzo)
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya EML na Radio E- FM Francis Anthony Ciza Majey (DJ Majizzo)
Wasalaam wana jamvi.
Kwenye mkutano kati ya RC Makonda na waandishi wa habari aliulizwa swali kama ni kweli Majizzo(C.E.O wa E-FM/TV-E)? Mh Makonda alijibu ni kweli anashikiliwa kwa mahojiano.
Taarifa ni kwamba Dj Majizzo alikamatwa juzi nyumbani kwake na kupekwa kituo cha kati kwa mahojiano.
Kwa wale wasio mfahamu vyema Majizzo ni yule kijana anaye semekana ndiye mmiliki wa kituo cha radio cha E-FM/ na TV-E(habari zisizo rasmi)