Kama bado hajapimwa, kwanini asipimwe?

Kama bado hajapimwa, kwanini asipimwe?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,534
Reaction score
146,104
Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.

Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari

Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana

Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo hospitali aliyopelekwa zikoje

Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake

Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna
 
Kwà ninavyoifahamu DODOMA, Mbowe hakupaswa kabisa kupelekwa huko DCMC na Sijui walitumia Protocal zipi kumpeleka kule Wakati General ipo na Hospitali ya kisasa kabisa Benjamin Mkapa ipo na ina vipimo vya kisasa kabisa na watoa huduma wenye weledi wakutosha kabisa!! Hili suala linafikirisha sana!??
 
Mtu aliyelewa chakari hawezi kupigwa?

Amandla...
 
Makamanda hawaelewi kitu mkuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu aliyelewa chakari hawezi kupigwa?

Amandla...
Hili swali ni la maana sana. Kwamba mtu akilewa kupigwa ni halali?
Chama cha mapinduzi kimejaa wapumbaf wengi sana akiwemo huyu Nyani.
Sii bora huyu ambaye hata kama alilewa hajavunjia heshima watu huko alikokuwa na akajiondokea kurudi kwake. Ni tofauti na yule mwenyekiti anaye rudi usiku kisha anavizia shemeji zake na kuwabaka hadi kutia mimba.
 
Unasadiki sana wewe!

Pole sana kamanda.
 
Naona kuna ‘narratives’ mbili zinazokinzana kuhusu kilichomtokea Mwenyekiti wa taifa, CHADEMA.

Wapo waliodokeza kwamba alienda kunywa na wenzake, dizaini akanywa akapitiliza, akalewa chakari.

Upande wa makamanda, wao wanadai eti kapigwa na watu wasiojulikana.

Sasa sijui protokali za kibunge na za hiyo spitali aliyopelekwa zikoje.

Ila, katika kuutafuta ukweli, mimi napendekeza apimwe blood alcohol level yake.

Ni wakati muafaka sasa kuanza kutumia sayansi kukata mizizi ya fitna.

1. Kwani mtu kunywa pombe na kulewa ni kuvunja sheria siku hizi?

2. Kwa kuwa aliliewa, kunatoa uhalali wa yeye kushambuliwa?

3. Kusudi la kumpima "Blood alcohol level" yake ni nini? Umesema "....ili kukata mzizi wa fitna"

Ni fitina gani zitakatwa kwa kumpima huyu mtu Blood Alcohol level yake?

NB: å Mimi nadhani ripoti ya polisi ije na jibu moja tu la msingi...

å Kwamba kushambuliwa na watu kwa lengo la kudhuru/kuumiza/kuua ama alianguka mwenyewe kwenye ngazi nyumbani kwake?

å By the way, huyu mtu siyo kwamba alikuwa unconscious mpaka anakimbizwa hospitali. Anajua na aliona kila kitu kilichofanyika....

å Na waliofika kumsaidia katika tukio wa kwanza ndiyo watu muhimu, nao wanaweza kusema kitu cha msaada kwa wachunguzi...

å Kwa kifupi sana ni kuwa, maelezo kamili anayo yeye victim. Haya ya kina Job Ndugai mahasimu wake lengo lake ni kui - confuse hadhira tu ili wasipate facts za tukio zima kama ambavyo wewe mwenyewe uko confused tayari..!!
 
Back
Top Bottom