Sijaelewa kabisa!
Tundu Lissu kasema kuwa amemuomba Rais Samia amsaidie kupata passport mpya kwa sababu aliyokuwa nayo iliibwa mwezi uliopita huko Ujerumani.
Aliyeiiba hiyo passport ni nani? Na...
Nimemuona shehe wa mkoa wa Dar es salaam alhad Salum akiwa na KC wa ACT wazalendo Zitto Kabwe Ikulu ya Dodoma kama wawakilishi wa vyama vya siasa.
Ndio najiuliza mbona viongozi wa vyama vya siasa...
Ukienda Wizara ya Afya, utakuta kuna watumishi kedekede, wanaosimamia jambo ambalo hawajawahi lifanya. Kuna wafamasia, ambao hawajawahi toa hata kidonge kimoja kwa mgonjwa, kuna madaktari ambao...
Kama chama kikuu cha upinzani sisi tunahitaji nini kwa sasa? Katiba mpya ingetupatia tume huru na tungeshinda chaguzi kihalali.
Chaguzi zikifanyika hatushiriki hii ni kwa sababu tulishasema...
Salaam Wakuu
Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).
Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea...
wana jamvi naomba hoja za msingi na zenye takwimu na si za kishabiki kwanini ccm wao hawataki mfumo wa serikali 3? maana nasikia maneno maneno yasiyo ya kitafiti juu ya uwepo wa serikali 2 wanazo...
Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu Kitwanga amelieleza gazeti la Majira leo tarehe 5 Julai kuwa wauza unga ndio walio muondoa katika nafasi yake ya uwaziri na taarifa zilizotolewa na...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angelina Mabula na Naibu Waziri wake Mhe. Ridhiwani Kikwete watafanya ziara kwenye Mikoa ya Singida, Mwanza na Mara kuanzia tarehe 15 Machi...
Licha ya awali kuwa na msimamo tofauti, vyama vya Chadema na NCCR-Mageuzi vilivyoweka msimamo wa kutokushiriki mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) vimetengua msimamo huo sasa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka wajumbe wa mabaraza ya Ardhi kuwa makini na watu watakaokuwa wanawasimamia, katika kutatua migogoro na kuleta usuluhishi kwa kuwa mkoa huo...
Spika wa bunge la JMT mh Dr Ackson Tulia ndio muhubiri wa leo hapa KKKT Kimara maarufu kama kwa mchungaji Matsai.
Dr. Tulia anahubiri kuhusu Upendo na anatoa mfano wa wanasiasa kwa kusema...
Zamani tulizoea kupata mrejesho wa habari mbali mbali wandishi wa habari walipenda kutafuta wahusika wanaotuhumiwa kwa jambo lolote lile ili kutoka ufafanuzi,
Ajabu Siku hizi wandishi wetu kwenye...
Tangu rais alipopiga marufuku vyama vya upinzani CCM imekua ikifanya mikutano kinyume na katiba kwa kigezo cha kijimilikisha nchi!
Chini ya mfumo wa vyama vingi zipo sheria zinazoelekeza jinsi...
Wasalaam.
Nimesikitishwa na maamuzi ya kamati kuu ya ccm kutaka jeshi la police lichunguzwe kwa sababu eti wananchi wamepoteza imani nalo. Najiuliza hivi kweli serikali ya ccm haijui matatizo ya...
Watu wengi hufikiri waliokuwa wanampinga Magufuli .. walikuwa wanampinga kila kitu au hawaoni mazuri yake ...
Ukweli ni kuwa mazuri ya Magufuli yanafahamika na yanajulikana ambayo tungependa...
Hapo vip!!
Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani.
Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya...
Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.
Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha...
Kama una hasira za karibu pita kimya Tafadhali.
Kwa ufupi
FAW : Mwenyekiti wa Chadema zaidi ya miaka 20
FAW: Mbunge wa kuchaguliwa kwa miaka 15
FAW: Kiongozi wa Upinzani bungeni kwa miaka 10...
Ameonyesha uongozi kwa vitendo.. Ni mtendaji.
Ni mbunifu sana. Hasubiri maagizo ya wakubwa au kusukumwa muda wote anawaza ni namna gani anaibadilisha Kinondoni.
Sio mtu wa visingizio ni mtoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.