Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu, katika rasimu hii mpya ya katiba kuelekea katika mchakato wa kupata katiba suala la ardhi halijatolewa ufafanuzi wa kutosha. Nini maoni yenu wanajamii?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa mdau muhimu kwenye hii taasisi inayojihusisha na huduma muhimu za Afya yetu watanzania. Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia inayopelekea hii NHIF kuwa chaka la kupiga fedha za...
7 Reactions
60 Replies
4K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuelekea kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia S. Hassan, nimekutana na hii habari iliyonikosha sana. Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha...
6 Reactions
54 Replies
3K Views
Amepiga mahesabu na kuona kuwa amepoteza mengi kwa muda wa miezi nane. Amepiga hesabu juu ya biashara zake zilizopo Dubai, Joburg na Mashamba ya maua na mbogamboga na kuona sasa bora...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaaam akizungumza na wananchi wa Kibamba waliokuwa wakionyesha mabango kulalamika kudhulumiwa ardhi yao. [/caption] Katika kipindi cha wiki chache zilizopita, Mkuu wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Fuatilia LIVE kinachojiri kwenye mkutano huo jijini Dar.. ----- Updates.. Wakati wakuu wa idara za ardhi katika wilaya ya mkoa wa Dar wakijibu maswali ya mkuu wa mkoa, mmoja amepoteza fahamu...
5 Reactions
197 Replies
28K Views
Leo nimemsikia mkuu wa Mkoa wa Dar, Paulo Makonda akitoa amri ya kusimamisha shughuli za mabaraza ya kata ambayo hufanya shughuli za kimahakama za katika kata (ardhi). Niseme nimefadhaishwa sana...
32 Reactions
193 Replies
25K Views
Sina nia ya kukufundisha kazi, ila sipingani na ukweli wa kwamba Paul Christian Makonda ni kiongozi haswa. Kiongozi huacha sifa bora na miongoni mwa mambo mazuri alotuachia Makonda kwa taifa hili...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Hii ndio taarifa mpya ya sasa hivi kutoka Ngorongoro , inadaiwa kwamba serikali imekusanya wamasai kutoka maeneo mengine na kuwapeleka kwenye kikao cha Waziri Mkuu na kuwafanya wakazi wa...
7 Reactions
63 Replies
5K Views
TANZANIA BARA, ZANZIBAR KUTEKELEZA KWA PAMOJA ANWANI ZA MAKAZI  Utekelezaji Tanzania Bara wafikia 3% na Zanzibar 7%  Ifikapo Mwezi Mei, 2022 utekelezaji unahitajika ufike 100%  Anwani...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi...
23 Reactions
73 Replies
5K Views
Soma na jipatie Rasimu ya Katiba aliyotangaza jana Mzee Warioba hapa.
32 Reactions
128 Replies
34K Views
Kesi ya Mbowe ilipikwa chini ya utawala wa Magufuli hivyo Mama Samia hatakiwi kulaumiwa Bali apongezwe Kwa kuwa tayari kurekebisha makosa ya mtangulizi wake. 1. File lilifunguliwa July 18, 2020...
34 Reactions
130 Replies
10K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Itakuwa ni makosa makubwa kwa watu kupuuzia, kukejeli au kudharau mwamko ambao mwanadada wa Kitanzania anayeishi Marekani Mange Kimambe ameuanzisha, kuuchochea na...
51 Reactions
232 Replies
16K Views
Siku zote serikali inabidi kukaa na wananchi wake kupata mawazo mazuri ambayo kila mtu yata mgusa. Mifumo ya kodi kwa nchi yetu ni mingi na ina msululu usio kuwa na sababu ukimuumiza mtu wa...
0 Reactions
6 Replies
698 Views
Hello wana jamvi nawaombeni sana mnipatie CV's za Mteule wa Rais kwenye Wilaya wa Kinondoni Paul Makonda. Napenda kujua hasa pia maisha yake ndani na nje ya siasa.
13 Reactions
705 Replies
218K Views
Jambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar. Ki hafla kidogo tu...
28 Reactions
116 Replies
7K Views
Watanzania hawa watendaji wetu sasa wamekuwa ni balaa. Upigaji wa fedha za miradi unatisha. Kila kukicha utasikia halmashauri hii imepiga, wilaya hii imepiga. Mkandarasi huyu kapiga ilimradi ni...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Alikuwa anataka kuficha kitu gani na kwa manufaa ya nani ? Tunaposema serikali imezuia tuna maana kwamba mzuiaji ni Rais , Waziri Mkuu , Makamu wa Rais , Usalama wa Taifa au Polisi ?
11 Reactions
53 Replies
6K Views
Back
Top Bottom