Wiki iliyopita serikali mpya ya Zimbabwe iliamua kufunga upatikanaji wa intaneti nchini humo kama malipizo ya maandamano ya watu kupinga upandaji wa bei ya mafuta.
Hapa Tanzania kuwekuwepo na...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amefanya ziara kujiridhisha uhalisia wa upatikanaji wa chakula kwa Wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari zilizopo Tarafa...
Watanzania tulio wengi mamia kwa maelefu tunasubiri kauli ya serikali kuhusu nini kifanyike tar 17.3.2022 atakuwa katimiza mwaka mmoja tangu tuondokewe na mpendwa wetu Magufuli
Ikiwezekana...
Wakati dunia ikianza kupata afueni kutokana na Covid, ghafla inaingia vita ya Russia VS Ukraine na mataifa makubwa ya magharibi yanaungana pamoja kuiwekea vikwazo Urusi. Tofauti na mataifa mengine...
Kabla Freeman Mbowe hajatoka gerezani Katibu wa Bawacha kule Mwanza kupitia Star tv alitutaarifu kuwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu atarejea nchini hivi karibuni.
Kwamba akiwa...
Viti maalum vya wanawake ni utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na makundi yao katika bunge na mabaraza. Kuna nchi nyingi za dunia zilizochukua...
Hayati Magufuli kwa hakika alikuwa akili kubwa.
Kuendelea kuifanya Dar es salaam kuwa makao makuu ya nchi ( serikali) halikuwa jambo jema, hivyo anastahili pongezi kuhamishia Dodoma.
Kwa mfano...
Baada ya Lissu na Mbowe kutanguliza maombi yao binafsi kabla ya chama, nashauri hili lisitokee tena wakati John Mnyika atakapokutana na mama.
Makosa yaliyofanywa na viongozi wakubwa wa chama...
Uzalendo ni ule moyo wa kutumikia nchi yako kwa hali yoyote iwe nzuri au mbaya.
Uzalendo hauangalii maslahi binafsi bali maslahi ya nchi nzima.
Kwa hali ilivyo Ukraine nimeona watu wenye uzalendo...
Uko katika mtandao wa Facebook Kamanda wa Chadema Moshi mjini Dastan Rumisha amemvaa vikali Kamanda mwenzie Malisa GJ baada ya kupost andiko akimtukana Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe Kwa kile...
Spika wa bunge la JMT Mh Tulia Ackson alisema anasubiri maamuzi ya Baraza kuu la CHADEMA ili kujua hatma ya wabunge 19 wa chama hicho
Habari kutoka makao makuu ya CHADEMA yaliyopo mtaa wa Ufipa...
Ukweli ni kwamba kuna matukio Rais wetu amekuwa akiingizwa mkenge ni pengine kwa makusudi au kwa bahati mbaya hasa na wasaidizi wake!
Mh Rais alipoingia madarakani alichagua wasaidizi kutoka kada...
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni...
Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe...
Ameongea vyema Askofu Bagonza:
Hatuhitaji CCM mpya wala CHADEMA mpya, hatuhitaji kaulimbiu mpya. Tunahitaji Tanzania Mpya inayowezesha Raia wake kuishi kwa furaha na watu wasiokubaliana nao...
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amekutana na mkuu wa mkoa wa Iringa mh Qeen Sendiga na kuzungumzia mambo mbalimbali yakiwemo amani na ushirikiano.
Mbowe amesema kikao hicho ni sehemu ya...
Hii vita ninaifuatilia kila muda kuona kuna fursa gani Tanzania na wafanyabiashara waweza Tajirika sana kwa pesa za kigeni
Hadi sasa nimegundua maeneo.makubwa yafuatayo
1.Mauzo ya Madini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.