Wakati wa mahojiano na DW Waziri ndumbaro amekaririwa akisema Wamasai washio Ngorongoro siyo wenyeji halisi wa ngorongoro.
Imeibua mjadala mingi baada ya wananchi wasomi kutoka jamii ya kimasai...
Leo Mhe. Rais amesema ana mpango wa kugawa wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ili kuanzisha wizara mahsusi kwa ajili ya mambo ya jinsia(ilikiwepo kabla ya 2015)...
Alifukuzwa nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar akiwa Bunge la Katiba Mjini Dodoma kutokana msimamo wake juu ya aina ya Katiba mpya itakayofaa Wazanzibar. Alilazimishwa kusema asiyoyaamini...
Taarifa ya Kamati ya Jaffo inakinzana na taarifa ya awali ya Mamlaka ya Bonde la Mali la Ziwa Victoria.
Mamlaka ya Bonde walidai utafiti wa awali wa kimaabara unaonyesha uwepo wa mafuta kwenye...
Serikali bila kujua imesaidia sana Chadema kukomaa kama chama
1. Magufuli kuzuia mikutano sasa wamekuja na kampeni za mitandao kama space na whatapp
2. Chadema digital imesajili watu 7M
3...
"Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili...
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke...
NIWAKUMBUSHE KUFUFUKA KWA CHADEMA MWAKA 2008.
Leo 11:02am 19/03/2022
Mwaka 2008,Katibu Mkuu akiwa Daktari Wilbroad Slaa,Chadema ilifufuka baada ya kutokea kashfa ya "Richmond" na kuendesha...
Miongoni mwa mambo ambayo raia wengi huogopa kuyazungumzia kiundani ni mfumo wa saisa yetu.
Wengi wao hudhani siasa ni kwa ajili ya watu fulani walio maalumu na inawahusu hao tu.
Ndio maana...
Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala...
Mama Samia kwa nini mnafanya hivi, mbona hii sio fair? Ni wapi tumekukosea?
Kabla nilitegemea ulipoingia ungepunguza ukali wa maisha Ila ukali ndio unazidi.
Mama Samia mbona hakuna aliyekataa...
Namnukuu Rais Samia:
"Tozo za miamala tuliweka kwa nia njema, zitaendelea ila tutarekebisha baada ya kilio chenu"
NOTE: Kuna watu walikuwa wanamtukana Mwigulu kuhusu hizi tozo na kusema kuna...
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia kutoka kwenye Chama Chake , unachotakiwa kufanya ni kuunga bando kwenye Device yako in order to Stay in touch .
Juhudi za kupata kituo cha TV kitakachorusha...
NB :Hii itabaki kumbukumbu ya vizazi na vizazi.
Baada ya PM Majaliwa kuingilia na kuunda kamati ya jinsi gani kuwaondoa jamii ya Kimaasai katika eneo la Ngorongoro, watanzania na dunia...
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya...
Kwa sasa Kuna mjadala wa kipi kianze Kati ya katiba ya wananchi na Tume huru ya Uchaguzi.
Mvutano mkubwa unaonekana katika vyama viwili vya ACT Wazalendo na Chadema.
ACT Wazalendo wanataka ianze...
Habari
Serikali imeanza rasmi ujenzi wa hospitali KUU ya jeshi la wananchi wa Tanzania ( JWTZ) inayoendelea kujengwa katika eneo la msalato jijini dodoma. Izingatiwe pia msalato International...
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa...
===
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Freeman Mbowe akisaini kitabu katika ofisi yake aliyokuwa akiitumia kuwahudumia wananchi wa Jimbo la Hai akiwa mbunge wa jimbo hilo.
Chanzo...
Kubali kataa, kesi Mbowe ilimuweka pabaya Sana Samia. Sema CCM walikuwa wanajikosha kana kwamba hakuna shida.
Samia alipokuwa anapost kitu Tweeter, kwenye comments 200, comments 150, zilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.