Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo na Tanzania. Akiongea wakati wa kikao cha...
0 Reactions
4 Replies
841 Views
Ninachokiona ni kwamba, Rais Samia ni Rais aliyeingia katika nyoyo za watu. Ni Rais anayekonga nyoyo za watu. Ni Rais anayefanya mambo na yanaokena. Anafanya maendeleo ya vitu na Watu. Ni Rais...
3 Reactions
10 Replies
863 Views
Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amemshauri waziri wa nishati January Makamba apeleke DSE 20% ya hisa za Tanesco zikauzwe na fedha itakayopatikana itumike kulipa madeni ya Shirika...
4 Reactions
137 Replies
12K Views
Ndugu WanaJF, Kuna taarifa njema hapa. Kuelekea uanzishwaji wa Sarafu ya Pamoja na Benki Kuu ya Afrika Mashariki, Waziri wa Fedha amepigia chapuo Taasisi ya Fedha (East African Monetary...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Vyama Vikubwa vya Siasa nchini hasa vya upinzani vimekuwa vikilalamikia mchakato mzima wa uchaguzi kwenye nyanja zote, madai yao makubwa ni kuwa chama Tawala (CCM) kimekuwa kikibebwa na kupewa...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Makomandoo hao ambao ni Walinzi wa Freeman Mbowe kwa kinachoitwa ( VIP PROTECTION ), waliokamatwa na kuwekwa Gerezani kwa miezi mingi, leo wamefika Hai Mkoani Kilimanjaro pamoja na Mtuhumiwa...
92 Reactions
190 Replies
15K Views
Ni taarifa rasmi iliyotolewa na CHADEMA kuwa Halima Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa CHADEMA kwa makosa mbalimbali waliyoyatenda dhidi ya chama chao. Walifukuzwa na Kamati Kuu ya chama...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Ni ile Jumuiya ya Afrika mashariki iliyokufa mwaka 1977. Tanzania tuliaminiwa katika mambo ya siasa na porojo baada ya kupata Uhuru mezani bila ya mapambano. Kenya iliaminiwa katika eneo la...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. leo Februari 14, 2022 ameeleza kuwa Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali: “Uharamu haupo kwasababu hawezi kuwa...
9 Reactions
108 Replies
10K Views
Serengeti. Serikali ya Tanzania na Kenya zimekamilisha uwekaji vigingi katika mpaka unaoigawa Tanzania na Nchi ya Kenya katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti na hivyo kufanikiwa kumaliza mgogoro wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yanayoendelea ndani ya chama changu pendwa cha CCM yanahuzunisha na naweza kutabiri keamba huko mbeleni inaenda kuwanufaisha wananchi kwa nini nasema hivi; Kwanza hoja ya Tozo inaenda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SERIKALI IMEUNGANA NA DUNIA YA KWANZA KUWAKANDAMIZA MASIKINI. NAMI NASEMA WAMALIZENI KABISA Na, Robert Heriel Kusoma wakati mwingine sio kuelimika, ninaushahidi wa kutosha usiotia Shaka kuwa...
22 Reactions
72 Replies
6K Views
Chadema wanajulikana tangia siasa za vyama vingi zianze kuwa hawana uwezo wa kuendesha siasa bila ya kufanya harakati za kisiasa ili kujifanya kuna vuguvugu wanalidai kwa manufaa ya umma. Mkuu wa...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi...
26 Reactions
58 Replies
5K Views
BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU MWENEZI CCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUTIMIZA SIKU 365 ZA UONGOZI NCHINI. #KaziIendelee #ChamaImara...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Hakika watanzania wameshuhudia mwaka mmoja wenye giza na kukosa matumaini tena kwa serikali yao tangu awamu ya 6 iingie madarakani. Je,Tanzania ingekuwa wapi kama ingepata kiongozi mzalendo? 1...
30 Reactions
80 Replies
5K Views
Ikiwa leo ni siku ambayo Freeman Mbowe anamshukuru Mungu kwa yote aliyopitia kwa kutoa Sadaka Maalum kwenye kanisa la KKKT Nshala , Machame , Umati mkubwa wa Waumini umehudhuria ibada hiyo kiasi...
14 Reactions
91 Replies
6K Views
Uchaguzi wa 1995 nilikuwa mdogo Primary School nakumbuka Mrema alishinda 1995, aliongoza mikoa 7 yenye nguvu Dar, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, Mwanza, Tanga, Kagera na Tume ya uchaguzi ikafuta...
9 Reactions
60 Replies
7K Views
With The permanent secretary in the ministry of foreign affairs and international cooperation Mr. John Haule Msiniulize vetting ya yeye kupewa Ubalozi huko Guangzhou China ilifanya lini, na nani...
21 Reactions
963 Replies
176K Views
Back
Top Bottom