Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

- - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Makala hii ilitoka July 13, 2021 kwenye RAIA MWEMA ukurasa wa 13 - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - -...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
UVCCM WAADHIMISHA MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA MADARAKANI KWA KISHINDO Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi, aliongoza Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
0 Reactions
4 Replies
701 Views
Akiteuliwa Waziri wa Mambo ya ndani lazima apambane na wakuu wa idara aliowakutwa,akiuliwa Waziri wa ardhi naye Kila anayemkuta ofisni Hana sifa, akiteuliwa Waziri wa sheria naye ana watu wake...
0 Reactions
3 Replies
844 Views
Mara baada ya kuingia madarakani ili kuonyesha anaupiga mwingi Mama Samia alisema yeye hatakuwa mtu wa maneno Makali bali matendo makali. Kwa ambao tumefuatilia interview za mama za karibuni...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
MAGUFULI: A MAN OF THE PEOPLE MAR 16, 2022 By Harid Mkali. London, England. It is now a year since the all too untimely death of President John Pombe Joseph Magufuli who died on March...
36 Reactions
296 Replies
15K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, leo Jumatatu ya tarehe 21/03/2022, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amemtembelea muasisi wa Chadema Edwin Mtei, nyumbani kwake huko Tengeru, Mkoani Arusha...
22 Reactions
48 Replies
6K Views
CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani hakiko serikalini iwe ya muungano au ya Zanzibar Tanzania ina nchi mbili Tanzania bara na Zanzibar. CHADEMA hakipo serikalini popote hata bungeni wanasema...
5 Reactions
80 Replies
5K Views
Unaweza kudhani Rais akistaafu basi anatulia nyumbani na kula pensheni yake. Hapana. Marais wastaafu huendelea na majukumu mengine ya kiushauri pale wanapohitajika. Kwa mfano kule Ukraine Rais...
2 Reactions
4 Replies
672 Views
Hili siyo tatizo jipya! Linathibitisha uzembe wa serikali ya CCM. Wakati mh. Sitta akiwa Spika na mama Makinda naibu wake, uchunguzi wa aina hii ulifanyika, lakini ajabu kabisa hata Sitta alikuwa...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya. Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ifike mahala jamani tuachane na siasa maandazi. Mtu katoka katika majaribu ya magereza tena baada ya kufanyiwa maombi ya mara kwa mara ya askofu Mwamakula na Shehe Ponda. Kadhalika askofu mkuu...
13 Reactions
25 Replies
1K Views
Chadema ya Lisu na Mbowe iliyakataa matokeo ya uchaguzi wa 2020 mpaka Leo hii hawajatengua kauli yao. Akina Halima na wenzake kama wanawake walitumia fursa Yao ya upendeleo kwenda bungeni badala...
8 Reactions
117 Replies
6K Views
Rais Samia Suluhu Hassan kwanza nakupongeza sana kwa hatua mbalimbali unazochukua baada ya kuondokewa na Magufuli Mhe. Rais kama lilivyo jina lako wewe ndio Suluhu ya suala la Katiba mpya. Haya...
2 Reactions
76 Replies
6K Views
Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Juzi kati niliona memba humu JF akiandika juu ya taarifa za kemikali zenye sumu kutoka mgodini zilivyoharibu mazingira kwenye Mto Mara na kusababisha vifo vya samaki na pamoja maji kuwa meusi...
10 Reactions
58 Replies
6K Views
Chadema ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania hivyo kinapaswa kuonyesha ujasiri wa kupambana na siyo udhaifu wa kususa. Zitto Kabwe wa ACT wazalendo hana tatizo na katiba mpya ila hoja yake...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Facts - Ni wazi kuwa wapinzani (wa kweli), wanaharakati, CCM Zanzibar, CCM wapenda mabadiliko bara na watanzania wengi kwa ujumla wao wanataka mabadiliko ya katiba ili kuondoa changamoto nyingi za...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
TRA shughulikieni suala la mtandao mnachofanya ni upumbavu wa hali ya juu, ofisi zenu zote muda wa kazi hakuna mtandao hasa siku za malipo ila kuanzia saa 11 jioni mnarudisha mtandao. Basi...
1 Reactions
0 Replies
621 Views
Binafsi naona madhara ya vita ya Russia na Ukraine yanaweza kuwa makubwa kwa bara la Afrika kuliko hata Ulaya kwenyewe. Tukumbuke Russia na Ukraine ni wazalishaji wakubwa wa chakula hasa ngano na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni nchi nyingi zimeendelea kutambua umuhimu wa uwazi wa serikali katika kuimarisha demokrasia, kukabiliana na rushwa na kukuza maendeleo. Uwazi wa serikali kimsingi ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom