Wakuu kwanza nikiri kabsa kwamba mwanzo kabsa wakati mama anakabidhiwa kijiti nilikua side yake kutokana na namna alivokua anaupiga mwingi lkn badae nkaona kama anaanza kupoteza nafas za waz kabsa...
Wadau JF!
Nawasalimu.
Moderators,
Nawasalimu.
Twende kwenye mada.
Ni hivi karibuni tulimsikia Rais wa JMT mama Samia Suluhu Hassan.
Akiwa kwenye kikao elekezi na baraza jipya la mawaziri na...
Mara ya kwanza niliposikia msamiati wa “mzungupori” sikuelewa, nilidhani msemaji anamtania mzungu mshamba anayetoka Ulaya kijijini.
1. Lakini baadaye nilipomuona mlengwa, nikaelewa kumbe...
MKURUGENZI wa Mashitaka nchini ( DPP), Sylvester Mwakitalu, amesema kwa sasa hakuna mwalifu atakayenufaika na mapato ambayo ameyapata kwa njia ya rushwa au uharifu, kwa maana hiyo fedha na mali...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeutaka uongozi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuendeleza bunifu za wanafunzi wa chuo hicho pamoja na kulinda...
TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo. TCD imesajiliwa kama NGO non Partisan lkn inahudumiwa kwa pesa za Umma. Uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha...
"Rais Mwinyi aliwahi kusema, kila zama na kitabu chake. Tumuombee Rais Samia Suluhu aandike kitabu chake, kurasa 365 amezimaliza, tunaamini ataendelea vizuri", - Nape Nnauye, Waziri wa Habari...
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu kila wakati kuwa, katika hii duniani ambayo imekuwwpo kwa mamilion ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya zaidi ya teknolojia tu.
Yote...
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili.
Inaeleweka wazi kuwa The legend...
Nimemsikiliza kwa makini mh.Hamad Rashid mwenyekiti wa chama ADC alipochangia mada kwenye kongamano la tathmini ya mwaka mmoja wa uongozi wa raisi SSH ,hapa chuo kikuu Cha UDOM.
Nimegundua hatuna...
10 Februari 2022
TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISATANZANIA), imepokea taarifa ya uamuzi wa serikali kuyafungulia magazeti manne, yaliyofungiwa kufanyakazi...
"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji...
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA walisusia bunge la katiba likiwa katikati ya majadiliano na likiwa ktk hatua nzuri ya kupata katiba nzuri ya wananchi. Sababu...
Tukielekea katika siku maalum ya kilele Cha sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa utawala wa raisi wa awamu ya sita nchini Tanzania,Nina maswali kadhaa kwa wadau wa siasa nchini.
Je ni raisi gani...
Dar es Salaam. Viongozi wa dini nchini wamewaasa Watanzania watakaomkosoa Rais Samia Suluhu Hassan wawe tayari kutoa ushauri wa nini kifanyike ili aendelee kuliongoza vyema Taifa na kufikia...
Ripoti ya CAG inatanabaisha sintofahamu kuhusu UTARATIBU wa ujenzi wa Bwawa la umeme la Nyerere mto Rufiji.. mfano,
1. Ujenzi wa bwawa ULISIMAMA KWA MIEZI MI(5) Baada ya kuta za bwawa...
“Mheshimiwa Rais nilikupigia simu lakini kwa bahati mbaya sikukupata lakini baadae ulinipigia na nikakuomba uhudhurie shughuli hii ukakubali na uliniahidi kuwa utakuja japokuwa sikuomba kwa...
Na Thadei Ole Mushi.
Watu wa Kilimanjaro sio wajinga kiasi hicho, watamchagua Rais Magufuli kwa Kura nyingi Sana kuliko wagombea wengine wa uraisi. Twende sawa na agenda zetu....
1. Kilimanjaro...
CHADEMA HAI, YAANZA KUTAPATAPA, WAMTUMIA MBUNGE SAASHISHA KAMA NGAZI YA KUKUSANYA WANANCHI KWENYE UJIO WA MBOWE
Hai, Kilimanjaro
Salaam wanajamvi
Andiko hili ni majibu ya andiko la upotoshaji...
Ameandika Malisa GJ.
Kumekuwa na mjadala mkubwa sana kuhusu chanjo ya Corona katika nchi nyingi za Afrika. Baadhi ya viongozi wa dini wamedai chanjo hiyo inalenga kupunguza idadi ya watu weusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.