Ole Sabaya kaonewa sana

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.

Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.

Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.

Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.

Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.

Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.

Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.

Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
 
Uko sahihi kabisa, Sabaya amechukuliwa hatua kwa sababu ni mhalifu aliyehitiliafiana na wahalifu wenzake wa ccm. Na uhalifu wa Sabaya ulikuwa na baraka zote za muhalifu mkuu ambaye alikuwa ni Magufuli.
atukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
 
Tusubirie hadi 2051 itajulikana kama kaonewa

2965669_00C7DC05-57E5-40A2-8FC9-89E152221D45.jpeg
 
Mkipewa madaraka yatumieni vizuri, sasa Sabaya kama inavyosemekana alikula mzigo kwa yule msanii wa Bongo fleva kwa nguvu, huyu alizidi ndiyo maana hasafishiki
 
Nimegundua weng wanaosema sabaya kaonewa ni washirika wake wa kutoka kanda yake, kuna lip la kulalamika? Mahakama imetenda haki tuache kuingilia uhuru wa mahakama

Kama kuna uonevu hapa jf si sehemu ya kulalamika kuna hatua za kisheria za kufuata, otherwisize haya ni majungu na kutaka kuchonganisha wananchi kwa itikadi zao pamoja na mahakama,

Nashauri mod madam kama hizi ni za kuondoa ni uchafu kma uchaf mwingine
 
Sabaya amekuwa mbuzi wa kafara kama tunafanya overhaul tuanze na high command wenyewe , watu wasijifanye ni wema Sana kisa wanayo madaraka ...hata hvyo mda utatupa majibu bullshit
 
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Rubbish!
Vijana wa CHADEMA utawajua tu! Akili ndogo kama kidonge cha piliton lakini miili yao mikubwa (mfano Boniphace Jacob) kama tembo!
Ona huyu uharo anaotoa!
 
Back
Top Bottom