Mbowe kuwa huru Rais Samia na Serikali mmepumua

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Kubali kataa, kesi Mbowe ilimuweka pabaya Sana Samia. Sema CCM walikuwa wanajikosha kana kwamba hakuna shida.

Samia alipokuwa anapost kitu Tweeter, kwenye comments 200, comments 150, zilikuwa zinahusu Mbowe sio gaidi. Hapa jamii forum ilikuwa ni Mbowe tu.

Samia alipokwenda nje, interview alizofanya na VOA, BBC n.k, Swala la Mbowe lilitawala Sana, last year kwenye ziara ya UN, hadi US department of state, walikataa aonane na Biden.

Baada ya Mbowe kuachiwa, hadi mazuri ya Samia yanaanza kuonekana,, kwenye mitandao kumepoa tulii.

Samia now amebadilika, anamzungumzia Mbowe kwa staha(refer interview na kikeke ya Jana), sio Kama mwanzoni, maana mwanzoni alimzungumzia Mbowe, utadhani Mbowe ni mtu wa kawaida. Na ata walioandaa kesi hawakutegemea consequences za hii kesi.

Serikali now mjifunze kuishi na wapinzani maana mkiwapa mikesi ya uongo na nyinyi hamtaishi kwa amani
 
... Samia aliomba kuonana na Mwamba mapema iwezakanavyo na akawa the first person to meet Hon. Mbowe baada ya Mbowe kumpa heshima hiyo. That event talks a lot.
Nashangaa Ile interview ya kwanza alivyokuwa anajibu kwa jeuri,,,eti Kama wapinzani wanataka kukutana nae Basi wapitie kwenye mabalaza,,, Mbowe alipotoka akamtafuta mwenyewe
 
Binafsi ccm na polisi kamateni tena mbowe arudi rupango kwani cku haziendi nilikua nainjoy nafatilia kesi ya mbowe sikumbili tu mshahara unasikia ushatoka yaani toka ametoka sikumoja imekua zito Kama imebeba sikutano
 
Kubali kataa, kesi Mbowe ilimuweka pabaya Sana Samia. Sema CCM walikuwa wanajikosha kana kwamba hakuna shida.

Samia alipokuwa anapost kitu Tweeter, kwenye comments 200, comments 150, zilikuwa zinahusu Mbowe sio gaidi. Hapa jamii forum ilikuwa ni Mbowe tu.

Samia alipokwenda nje, interview alizofanya na VOA, BBC n.k, Swala la Mbowe lilitawala Sana, last year kwenye ziara ya UN, hadi US department of state, walikataa aonane na Biden.

Baada ya Mbowe kuachiwa, hadi mazuri ya Samia yanaanza kuonekana,, kwenye mitandao kumepoa tulii.

Samia now amebadilika, anamzungumzia Mbowe kwa staha(refer interview na kikeke ya Jana), sio Kama mwanzoni, maana mwanzoni alimzungumzia Mbowe, utadhani Mbowe ni mtu wa kawaida. Na ata walioandaa kesi hawakutegemea consequences za hii kesi.

Serikali now mjifunze kuishi na wapinzani maana mkiwapa mikesi ya uongo na nyinyi hamtaishi kwa amani
Nchi nzima imejaa furaha tele
 
Kijiwe chetu Cha kesi ya mchongo ya UGAIDI Sasa hakuna ,hatutasikia Tena ugaidi ni nn ugaidi ni utalii

Hatutasikia Tena pGo 264 inasemaje haijui kibatala anamuonyesha mkojo unambana polisi ghafla anakimbilia chooni tiganga anamwambia uwahi kurudi

Hatutasikia tena
Mmmm
 
Back
Top Bottom