Utabiri wa Mbowe kuachiwa na siasa za Tanzania kuelekea 2025

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,188
11,219
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama.

Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri tukubali yashe au taifa liwe ndimi mbili jambo litautikisa muungano.

2025...... Hali ni tete itakuwa ccm patachimbika jambo idara nyeti litawaweka pembeni kusubiri wazee wa chama hiyo itakuwa hekima kubwa kuogopa chombo kikubwa cha ulinzi kushika nchi wakati mambo wanaweka sawa ili wasifike uko... Jamaa watatoka nje na wazee wata amua... Wazee gani je akina nani pray for nation..

Update..
Napenda kuwakumbusha utabiri huu niliotoa mwakajana 5 sep leo 04.03.2022 umetimia. What is next.... Only God know.
 
Mtabiri unaecheza na upepo. Ungekuwa mfanyabiashara wa habar za kisiasa, saa hizi ungeshapiga hela za hawa nyumbu wanaonyambuliwa na wanasiasa uchwara. Maana hizi ndio habar wanazopenda kuzisikia.
 
Hahaha, jamaa mnapata shida sana! 2025 inatoka fomu moja ya urais, ya Samia, anashinda kwa kishindo! 2030 mchuano ni Mwigulu, January na Hussein Mwinyi, mmojawapo atachukua!
 
Hahaha, jamaa mnapata shida sana! 2025 inatoka fomu moja ya urais, ya Samia, anashinda kwa kishindo! 2030 mchuano ni Mwigulu, January na Hussein Mwinyi, mmojawapo atachukua!
Mwigulu huyu huyu?
Mnataka tuamie burundi wengine ambao hatumuelewi....?
 
Back
Top Bottom