Serikali imewakomaza CHADEMA

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,606
8,744
Serikali bila kujua imesaidia sana Chadema kukomaa kama chama

1. Magufuli kuzuia mikutano sasa wamekuja na kampeni za mitandao kama space na whatapp
2. Chadema digital imesajili watu 7M
3. Uchaguzi kuibiwa kura umeleta namna mpya ya kujitegemea bila ruzuku na madai ya katiba mpya
4. Kesi ya maigizo ya Mbowe imeleta Watanzania kujua mfumo wa mahakama na Polisi na kuelewa kwanini watu wanalaumu

Hiki chama ni imara sana kuliko miaka 10 iliyopita. Inaelekea Watanzania hasa wa vijijini wameanza kupata elimu. Angalieni wakina Polepole, Makonda, Ndugai wako wapi leo! Kumbe cheo sio watu!

Mimi nashauri serikali wekeni uhuru ili mjue ukweli na kujipima bila hivyo iko siku mtadondoshwa maana hamjui mko wapi kwa wananchi. Hakuna mtu alikuwa anajua kama Chadema itakuwa na nguvu hivi bila wabunge au ruzuku!
 
Ila kabla sijakuunga mkono

It is high Mbowe apumzike

Tunahitaji kiongozi mpya,kijana mwenye uono mpya

Ni kweli CHADEMA wamekomaa
 
Ata mtoto asipopewa chakula vizuri kuna muda anazoea hali na hapo ndio anakua na utapiamlo
 
Back
Top Bottom