Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Daraja hili linakwenda kukamilika mwaka huu na kufanya usafiri katika ukanda huo kuwa Bora kabisa. Hakuna mradi utaachwa, na miradi mipya itazidi kujengwa. #SHH2025/30 #MamaMaendeleo.
9 Reactions
43 Replies
3K Views
Baada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika Wizi Mkubwa Awamu ya 5, Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanabodi, Japo hoja hii inge fit best kwenye Jukwaa la Habari Mchanganyanyiko, lakini kwa vile hii ni issue ya political economy ya uchumi wa nchi, nimeshuka nayo kwenye Jukwa la Siasa. Naomba...
9 Reactions
90 Replies
11K Views
Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!! Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa...
1 Reactions
5 Replies
899 Views
Enzi za Dr Slaa akiwa Katibu mkuu wa Chadema hali kama hii ya kupanda kwa bei za bidhaa muhimu angeshalitolea Tamko Nabaki najiuliza hiyo Join the Chain ni muhimu kuliko mfumuko wa bei za bidhaa...
7 Reactions
101 Replies
4K Views
Leo wakati najiandaa kwenda kanisani ibada ya pili nikasema ngoja niweke redio yetu Tumaini. Baba Askofu akitoa salamu za Xmas kwa waumini alisema kuwa yeye anaona maisha yana nafuu sana, labda...
54 Reactions
647 Replies
68K Views
Ni vyema Sasa Kila wizara ikakaa mbele ya waandishi ikiwa na executive summary ya majibu ya concerns za C.A.G ili kuondoa vacuum, kama mwendazake alihusika, wizara iseme, kama Kuna ufafanuzi...
2 Reactions
12 Replies
817 Views
Wabunge wengi wa CHADEMA walishachokwa sema tu 2015 mzee Lowassa aliwaboost wakarejea mjengoni. Ni wabunge watatu tu wa kuchaguliwa ndio walikuwa bado wanakubalika na inawezekana hata 2020...
1 Reactions
67 Replies
3K Views
Nature imetenda haki. Hii ni hotuba ya Kambi ya Upinzani bungeni ambayo Job Ndugai na Magufuli hawakutaka kabisa isomwe ili wananchi wajue mauvundo, dhuluma na mauchafu wanayofanyiwa. HOTUBA YA...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Katibu mkuu wa CCM komredi Chongollo ametembelea Kiwanda cha kisasa cha kutengeneza magari kinachomilikiwa na mwekezaji wa kitanzania mh Masoud Kipanya. Kiwanda cha Kipanya kinatengeneza magari...
5 Reactions
79 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris. Na mara...
10 Reactions
122 Replies
8K Views
Ukiangalia report ya CAG ni upigaji juu ya upigaji, ingawa hii ni normal kwa miaka yote na report zote huwa ni upugaji kwenda mbele. Kitu kinacho nishangaza kidogo ni raia kufurahia upigaji au...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Wale wanazi wa Jiwe wanadai kwamba katika awamu yake hapakuwa na upigaji, kulikuwa na upigaji sana kuliko utawala wowote tangu nchi hii iumbwe. Mama Samia anajikita kurekebisha mifumo ya nchi...
9 Reactions
228 Replies
11K Views
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamala D. Harris, Makamu wa Rais wa Marekani, leo Aprili 15, 2022 katika Ikulu ya Washington DC Nchini Marekani. "Utawala wetu umedhamiria kwa dhati...
13 Reactions
53 Replies
5K Views
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu! Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe...
26 Reactions
255 Replies
16K Views
Duniani Ogopa vitu viwili ambavyo ni mungu na Teknolojia Huyu Gwajima ubavu wa kusema sio sukuma Gang anautoa wapi wakati hadi ushahidi upo kabisa kwamba ndo mwasisi wa Sukuma Gang? Rejeeni huu...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
Maswali muhimu kutoka Ripoti ya CAG 2016/17 SERIKALI KUU( rejea kurasa za Ripoti Kuu ya CAG ) Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu Zipo wapi Shilingi Trilioni 1.5...
130 Reactions
845 Replies
64K Views
Na Boniface Jacob IJUMAA, Mei 10, mwaka huu, Taifa lilishuhudia hukumu ya kihistoria katika Mahakama Kuu ya Tanzania. Mahakama ilibatilisha vifungu vya Sheria ya Uchaguzi vinavyowapa mamlaka...
14 Reactions
25 Replies
4K Views
Mjadala wa madai ya Katiba mpya unaendelea kushika hatamu. Baadhi yetu wanadai kuwa nchi inahitaji Katiba mpya, wanatoa sababu zao. Madai yao ni ya kuheshimiwa kwa sababu ni haki yao lakini ni...
18 Reactions
112 Replies
7K Views
Marufuku ya kupiga siasa iliyotolewa na Rais Magufuli kwa wanasiasa wapinzani wake huku Chakubanga ,Bi Tukinao, Professa wa Jalalani, Bashiru, Shaka na wengine wakizunguka nchi nzima kufanya...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom