Kubenea achafuliwa baada ya kusema vibaya awamu ya 5 ripoti ya CAG

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,775
18,733
Baada ya Gazeti la Raia Mwema ambalo moja ya wamiliki na waandishi wake ni Said Kubenea kuandika
Wizi Mkubwa Awamu ya 5,
Wapo watu hawakufurahishwa na habari hiyo na kumchafua kiongozi huyo na ku edit vichwa vya habari, ambapo amesema atawatafuatilia na kuwafungulia mashtaka

20220416_150714.jpg

20220416_150710.jpg

20220416_150729.jpg
 
Kwa hiyo kuna gazeti la Raia Mwema la jana lilitoka na hiyo habari kumuhusu Kubenea?

Nilichoelewa hapo ni kwamba jana zilitoka copy mbili za Raia Mwema, moja ya kumchafua na nyingine ya kuripoti huo wizi wa awamu ya 5.
 
Hehe kubenea anaweza graduate law kwenye corridor za mahakama.

Maana yeye kila jambo anakimbilia kufungua kesi tu.
 
Kwa hiyo kuna gazeti la Raia Mwema la jana lilitoka na hiyo habari kumuhusu Kubenea?

Nilichoelewa hapo ni kwamba jana zilitoka copy mbili za Raia Mwema, moja ya kumchafua na nyingine ya kuripoti huo wizi wa awamu ya 5.
No,hao ni vijana Sukuma Gang wame edit gazeti kumchafua Kubenea baada ya kuandika Wizi Mkubwa awamu ya 5
 
Back
Top Bottom