Ndugu wana jamvi Mimi ni mdau wa elimu kwa mda mrefu ila ninasikitishwa na namna wizara hi inavyoendeshwa
1. Kuna upungufu was watumishi lukuki wewe unaomba 10000 hivi so mzaha huu
2. Unasoma...
Leo alfajiri nilipokuwa napitia vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali, nimekutana na kichwa cha habari kilichonistajabisha sana...eti "Ufisadi Mkubwa Awamu ya Tano"
Kinachinishangaza ni kuwa...
Kama ilivyokawaida, ´elite system ‘ wapo katika harakati za kuhakikisha mabaki yote yaliyoachwa na aliyekuwa Rais wa JMT, Ndugu John Pombe Joseph Magufuli (JJPM) yanaondolewa na kuharibiwa haraka...
Wizara ya TAMISEMI imesahihisha taarifa yake iliyosomwa bungeni leo Aprili 14, 2022 na Waziri wa Wizara hiyo Innocent Bashungwa na kusema kwamba, Pikipiki za maafisa ustawi wa jamii zilizonunuliwa...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amezungumzia matumizi ya helkopta katika ziara ya kukagua uanzishwaji wa anwani za makazi, akisema inawamsha watu kufanya kazi...
Hakika Huenda Hii AWAMU ya 5 na 6 zikaweka HUSTORIA ya UPIGWAJI wa FEDHA ZA UMMA na REKODI ya WAPIGAJI KUTOSHTAKIWA
RIPOTI ya CAG inasikitisha lakini VYOMBO vya Usalama kwa maana ya PCCB wapo...
Dodoma. Mbunge wa Mtoni, Zanzibar (CCM), Abdulhafar Idrissa Juma ameshangazwa na kitendo cha Mfuko wa Maendeleo Nchini (Tasaf) kuziondoa kaya zinazomiliki vyoo vyenye masinki visiwani humo katika...
Acha ninukuu maneno ya E1 akiwa huko Kwa Mathias-Kibaha, Mkoa wa Pwani.
.
Katikati hapa tulitetereka kwani tulianza kujuana kwa ukanda, udini na ukabila, tuna kazi ya kufanya hapa
.
Nashangaa E1...
TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM
Kukamilika kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining (GGM) kutaliwezeshaTANESCO kupata...
Maamuzi ya kibiashara yasiingiliwe na siasa.....haya madege yamepaki tu hayafanyi biashara tarajiwa. Kila moja limenunuliwa kwa mamia ya mabilioni, halizalishi faida, Bali linazalisha hasara, mara...
Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha.
Mtenda maovu ipo siku atakiri kuwa yeye alikuwa au ni mtenda maovu.
Msikilizeni mwenyekiti wa CCM akitoa hii habari kwa umma.
CCM siku zao za kukaa...
Mbunge wa upinzani Easter Matiko amesema jana kapanda ndege ya dreamliner na kujionea uzuri wake ;
Ameendelea kusema kwamba mara zote amekuwa akiisema serikali ya Kikwete kutonunua ndege lakin...
Leo ni alhamis ya amri siku ambayo mtume Yuda Iskarioti alijinyonga baada ya kumsaliti masihi wa Mungu Yesu Kristo
Kadhalika siku kama ya leo ndio mtume Petro ( Mwamba) alimkana masihi wa Mungu...
Lissu alikuwa mmoja wa viongozi wa chama Cha wanasheria wa mazingira (LEAT) .
Chama hiki kilipokea mabilioni kutoka kwa wafadhili, na mara tu baada ya kupokea, chama hiki kiliuwawa kimyakimya na...
Kwa wasiojua, mmisiri pale ni nyapara, hajengi, hawa Chato dynasty ndio wameji subconstruct .
Magenge ya awamu ya tano yaligawana tenda ya ujenzi wa mradi wa Stiglers, hawa wanaopiga kelele na...
Wajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.
Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale...
Mama Samia amejibainisha kama Rais anayeheshimu utaalamu.
Samia ni tofauti na JPM, JPM japo alisoma sayansi mpaka PhD (kama ni kweli) aliyofundishwa na waalimu wake yote aliyakataa akiwa Rais...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema alipokagua taarifa za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) alibaini mtu mmoja amefanyiwa vipimo vya damu (full blood...
Namnukuu Mdhibiti
Halmashauri ya Temeke ililipa jumla ya shilingi bilioni 2.38 kwa wakandarasi kwa ajili ya gharama za bima wakati wa kutekeleza miradi ya Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.