Nchi inapigwa vibaya mno na raia tunashangilia

ANAUPIGA MWINGI

JF-Expert Member
Apr 14, 2022
389
753
Ukiangalia report ya CAG ni upigaji juu ya upigaji, ingawa hii ni normal kwa miaka yote na report zote huwa ni upugaji kwenda mbele.

Kitu kinacho nishangaza kidogo ni raia kufurahia upigaji au kuto kujali upigaji unao fanywa. Ukwel ni kwamba hata kama Baadhi ya yetu tuna uwezo kifedha lakini ni ukweli kwamba Upigaji unaathiri sana feature ya sisi au hata watoto wetu.

Ndugu zetu pia vijijini kule ni wahanga wakuu wa huu upigaji, Make ukingalia MSD ni upigaji na ku over price madawa, hii maana yake inaathiri ndugu zetu moja kwa moja hata kama sisi tunajuona tuna pesa za kumudu madawa kwenye private hospital.

Huu upigaji hauwezi isha kama raia sisi tuko mstari wa mbele kushangilia upigaji na hii inawapa ahueni watawala, Ukiangalia hata Mkuu wa nchi upigaji haumunyimi usingizi kwa sababu anajua raia wenyewe wanaunga mkono upigaji.

Ukweli ni kwamba bila raia kusimama kidete upigaji hautakaaa upungue kwa sababu watawala ni kama wanaunga mkono upigaji au walisha nyanyua mikono juu na hawana cha kufanya.

Unazania kwa upigaji wa MSD ni raia wangapi vijijini na mijini wamekufa kwa kukosa pesa za huduma zilizo kuwa juu kwa sababu ya Over price ya manunuzi ya MSD? Lakini watawala sana wanacho fanya ni kuisafisha MSD, unaisafisha MSD wakati watu walisha piga pesa za kula miaka 50 ijayo? na sana sana watahamishwa Sekita zingine?

Sioni Dalili za upigaji nchi hii kupungua kwa sababu Raia wenyewe ni waunga mkono upigaji
 
Waliosoma au wasomi nchini wako milion 8 Kati ya watu 56m Kati ya hao milion 40 wanaishi vijijini kwann wapigaji wasitumie fursa

Hiyo yakijinin ndo zana ya kinyukilia wanatumia ccm miaka yote
 
Ukiangalia report ya CAG ni upigaji juu ya upigaji, ingawa hii ni normal kwa miaka yote na report zote huwa ni upugaji kwenda mbele.

Kitu kinacho nishangaza kidogo ni raia kufurahia upigaji au kuto kujali upigaji unao fanywa. Ukwel ni kwamba hata kama Baadhi ya yetu tuna uwezo kifedha lakini ni ukweli kwamba Upigaji unaathiri sana feature ya sisi au hata watoto wetu.

Ndugu zetu pia vijijini kule ni wahanga wakuu wa huu upigaji, Make ukingalia MSD ni upigaji na ku over price madawa, hii maana yake inaathiri ndugu zetu moja kwa moja hata kama sisi tunajuona tuna pesa za kumudu madawa kwenye private hospital.

Huu upigaji hauwezi isha kama raia sisi tuko mstari wa mbele kushangilia upigaji na hii inawapa ahueni watawala, Ukiangalia hata Mkuu wa nchi upigaji haumunyimi usingizi kwa sababu anajua raia wenyewe wanaunga mkono upigaji.

Ukweli ni kwamba bila raia kusimama kidete upigaji hautakaaa upungue kwa sababu watawala ni kama wanaunga mkono upigaji au walisha nyanyua mikono juu na hawana cha kufanya.

Unazania kwa upigaji wa MSD ni raia wangapi vijijini na mijini wamekufa kwa kukosa pesa za huduma zilizo kuwa juu kwa sababu ya Over price ya manunuzi ya MSD? Lakini watawala sana wanacho fanya ni kuisafisha MSD, unaisafisha MSD wakati watu walisha piga pesa za kula miaka 50 ijayo? na sana sana watahamishwa Sekita zingine?

Sioni Dalili za upigaji nchi hii kupungua kwa sababu Raia wenyewe ni waunga mkono upigaji
HATA MIMI NASHANGILIA WACHA WAIPIGE kwa Urefu wa Kamba zao
 
Ni Chama cha mapinduzi , na utamaduni wake, myonge mnyongeni, haki yake (ya kunyongwa) mpeni

Raia wanao uwezo wa kuwawajibisha wapigaji?
 
Kama kuna wakati wa kuitisha maandamano ni huu. Tena maandamano ya wananchi yasiyofungamana na vyama vya siasa. Sipati picha jambo kama hili lingetokea nchi za wenzetu huko mbele hasa ulaya au Ufaransa, nakmwambia pasingekalika.
 
Watumishi watatu walilipwa posho mil 215 kwenda nchini china
Temporary camp house milioni saba (
Screenshot_20220416-115114.png
07)
 
Tanroad wakanunua mtambo wa mabilion kuzalisha Sukari halafu mtambo wenyewe mtambo hewa
 
naomba kila uzi atayekuguswa kichwa cha habari cha uzi wake atangulize CCM kwanza kisha matatizo anayo yaona ili JF ijae nyuzi zinywe kichwa cha habari.

CCM ndio janga la tanzania hakuna mwengine wa kumpa lawama.
 
tusio na kamba mtuazime basi ila kamba zenyewe ziwe za kikwere au kimakunduchi
Mie mwenyewe sina kamba ndugu yangu ila watoto wa vigogo mpaka wakwe zao wanamaisha mazuri siye tunakula msoto ,wao pesa ya umma wanalia bata
 
Back
Top Bottom