Hii ni tafakuri ya wazi kufahamu tunasimama wapi.
Zanzibar kunazidi kunoga. Bila shaka uchumi wao ukiwamo wa mtu mmoja mmoja kwa sasa unazidi kupaa kwa kasi kuliko popote duniani.
Washukuriwe...
Nitumie tu sikukuu hii kumpongeza mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe kwa ujasiri wake wa kuipigania lockdown wakati akiwa KUB.
Yawezekana alikuwa sahihi japo sina uhakika
Mungu wa mbinguni...
Hizi ni sababu za waotaka katiba mpya Tanzania
Utawala bora na utawala wa sheria ni upi? Ni maswali ambayo hujiuliza watu wengi nchini Tanzania na ni moja ya vilio vya baadhi ya Watanzania...
MALIPO YA PICHA YA SAMIAH KWENYE MNARA YAMEANZA DUBAI TANZANITE AINA YA RUBI
Niliandika na kuwambia hakuna cha bure siyo fedha zitalipwa ni Almas na dhahabu mkasema namchukia Samiah ni uongo...
Kifungu cha 7 (1) cha Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332 (kama ilivyorekebishwa Mwaka 2019) kinasema kuwa, mapato ya mtu binafsi kutokana na ajira kwa mwaka wa mapato yatakuwa faida aipatayo...
Wananchi wa kila kada wamepiga kelele na kushauri mkuu wa nchi amfute kazi January Makamba maana tangu aingie Wizara ya Nishati kila kitu kimeenda mrama. Bwawa la Nyerere ambalo kama...
ACT Wazalendo leo wamefanya uchambuzi wa Ripoti ya CAG.
KC Zitto Kabwe amesema kuanzia mwaka 2015 Serikali imekuwa ikipeleka fedha kwa mabilioni Mkoani Mwanza ambazo hazijulikani ni za nini na...
Endapo vyama vya upinzani mtajipanga vizuri na kuacha blah blah mkatuletea wagombea wanaoeleweka uchaguzi wa mwaka 2025 utakuwa mwepesi Sana kwenu
Fanyeni haya yafuatayo
Andaeni wagombea...
Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani.
Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa...
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji.
Faida ya Mhe. Rais...
Polisi mkoani Njombe imeonya wananchi kujihusisha na vitendo vya ushirikina na kubainisha kuwa yeyote atakayemuita jirani yake mchawi na kukamatwa kwa tuhuma hizo itapelekea kuhukumiwa kwenda jela...
Ni jambo la ajabu na la kukemewa na kila mtanzania mwenye Nia njema kwa Taifa la Tanzania.
Hivi kweli watu sita wafanyakazi wa Benki kuu wanatuhumiwa kuiba Bilioni 3.6 CCM ipo kimnya?
Hivi kweli...
Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe.
Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote...
Mwanasiasa Dkt Hamis Kigwangalla amezunguzia Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo amewahi kuiongoza akisema kuwa ukiwa Waziri wa hapo utahongwa sana hasa kutoka kwa wawekezaji wa vitalu...
Mambo ya hovyo yanafanyika hapa nchini na nyinyi mpo tu hata hamtoi matamko wala kumobilize watu tuandamane.
Hali ngumu ya maisha imetawala na ndio kwanza tabaka tawala wao wanafuja mali za umma...
Rais anapoteua wasaidizi, hateui wawe kazi yao kumsifia na kumpamba kupitiliza. Bali huwateua kwa lengo la kumsaidia kazi na kuleta maendeleo.
Amos Makalla kwa muda mrefu amekuwa akitumia nguvu...
Tumeoshuhudia Rais Samia Hassan akiwateuwa tena wale waliotenguliwa/achwa kwenye teuzi na mtangulizi wake rais Magufuli ambaye alikuwa naye ikulu .
Licha ya kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja...
Tulio sekta ya ujenzi bado hatujatengemaa kutokana na vurugu tulizopitia miaka hii mitano.
Kabla ya kupata urais Magufuli na sekta ya ujenzi tulikuwa chanda na pete.
Mikutano yote ya wajenzi...
Huo ndiwo ukweli.
Wengi wao wapo hapo kwa namna moja ama nyingine kwa msaada wa Hayati hususani wana siasa.
Pamoja na kwamba baadhi ya wateule walitenguliwa lakini ni imani yangu waliobaki wapo...
Najiuliza tuu,
JPM endapo Angelikuwepo kama raisi ama muda wake wa utawala kuisha,
Aliyekuwa makamo wake ambaye ndiye Rais wetu kwa sasa Angelisema hayo kama aliyosema Washington huko kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.