Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Ndugu zangu,
Itakumbukwa mwaka uliopita Rais Samia alienda Marekani na alifika Ikulu ya White House badala ya kukutana na mkuu wa nchi ya Marekani alikutana na Makamu wake Kamala Harris.
Na mara hii tena katembelea Ikulu ya White House badala ya kukutana na Biden ambaye yupo Marekani lakini kakutana na Makamu wa Rais.
Kuna haja ya kuliangalia hili kwa uzito wa kidiplomasia kwani katika ziara zote mbili Rais Biden yupo Ikulu ya White House lakini hatoi muda kwa Rais wetu.
Je, inawezekana kwa Rais Biden kuja Tanzania na kuishia kufanya mazungumzo na makamu wa rais tu?Kidiplomasia hii imekaaje?
Kwanini Wizara yetu ya mambo ya nje isijiridhushe uwepo wa Rais Biden kukutana na Rais Samia kabla ya kufanya ziara nchini humo?