kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,839
- 17,437
Hili genge sijui ina lina laana gani mungu wangu!
Kwa kweli mnawafanya wanachato wote wasiaminike
Huyu bwana pamoja na kuwa rekodi nzuri ya utendaji alivyotolewa nilisikitika sana lakini kumbe alikua analeta ukabila na uchato huko Wizarani na Tanesco
Alikua analeta upendeleo wa kikabila na wa kieneo kwenye wizara yake pamoja na Tanesco
Waziri nzima unajaza watu wa chato tu Tanesco unapeleka mafavour yote yaende kwenu chato japo nyumbani ni nyumbani sio kwa ukabila huu wa kupendelea tu kwenu hii ni aibu na hasara kubwa kwa taifa
Huko Tanesco uliwajaza ndugu zako, kabila lako wachato wenzako!!! Halafu hao hata wakifanya makosa ulikua huwagusi na bado hukuridhika ukapeleka jengo la mabilioni huko Chato la tanesco
Yaani ni kusema kwamba chato ina wateja wengi wa umeme kuliko dsm au?Hivi mnatuonaje nyie Push gang?Hamtaki kuamini kwamba zama zenu zimekwisha?
Halafu kuna wajinga waliohoji mama kamtumbua bila kumwambia kosa lake eti magu alikua anamtumbua mtu anamwambia kosa...We msitufanye mazuzu mwendazake alivyomtoa makamba kipindi ile kwani makamba alifanya kosa gani?
Si hakufanya lolote baya?Sasa tulieni dawa iwaingie msimpangie mheshimiwa rais cha kufanya kwamba afanye km alivyokua anatenda huyo marehemu wenu.Halafu ni bora mkae kimya tu hivi mnajua tunajua hadi utambulisho wa huyo mtu wenu alotolewa kwamba ni damu moja na marehemu nasubiri ni suala la muda tu i will expose everything soon
Hili genge inabidi iwepo list kabisa watolewe wote, huyu kalemani nilimwamini sana na ni mchapakazi sana ila ukabila na uchato ulimpenda zaidi....
Kibaya zaidi ulikua unapingana na boss wako na unampinga hadharani na kumuona sio lolote kwenye vijiwe vya push gang ulikua ukihudhuria na wewe ni mwanachama kindakindaki wa sukuma gang na ulikua unapanga mikakati ya kumuhujumu na kumuangusha samia bila kuona hata aibu wakati wewe ni waziri wake, ukabila, ukanda,upendeleo, na chuki dhidi ya Samia vilikupenda zaidi broo!!!