USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

Zitto

Former MP Kigoma Urban
Mar 2, 2007
1,562
10,880
Maswali muhimu kutoka Ripoti ya CAG 2016/17 SERIKALI KUU( rejea kurasa za Ripoti Kuu ya CAG ) Ripoti ya CAG kwa mwaka ulioishia 30 Juni, 2017 imejaa madudu
  • Zipo wapi Shilingi Trilioni 1.5 zilizokusanywa na Serikali Lakini hazikutolewa kwa matumizi wala kukaguliwa? Ukurasa 34
  • Kwanini Serikali imekopa TZS 500 bilioni zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge. Uk 30
  • Kwanini Serikali imetekeleza 68% tu ya Bajeti ya Maendeleo kwa Serikali Kuu na 51% tu kwa Serikali za Mitaa? uk 38
  • Kwanini Serikali ilitumia zaidi ya shilingi 219 bilioni, kulipa madeni ya nyuma ambayo hayakuwa kwenye Bajeti? uk 40
  • Kwanini Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Wametoa Takwimu za Uongo za Mapato ya Kodi ya zaidi ya shilingi 2.2 trilioni? uk 109
  • Serikali ya Jamhuri ya Muungano imepata Hati Chafu ( Hesabu Jumuifu za Taifa ). Kwanini Katibu Mkuu Hazina hajachukuliwa hatua kama ilivyokuwa kwa Wakurugenzi wa Serikali za Mitaa? uk 296-298
Habari zaidi, soma=>Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa
 
Maswali muhimu kutoka Ripoti ya CAG 2016/17 SERIKALI KUU

( rejea kurasa za Ripoti Kuu ya CAG )

  • Zipo wapi TZS 1.5trn zilizokusanywa na Serikali Lakini hazikutolewa kwa matumizi wala kukaguliwa? Ukurasa 34
  • Kwanini Serikali imekopa TZS 500bn zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge. Uk 30
  • Kwanini Serikali imetekeleza 68% tu ya Bajeti ya Maendeleo kwa Serikali Kuu na 51% tu kwa Serikali za Mitaa? uk 38
  • Kwanini Serikali ilitumia zaidi ya shilingi 219 bilioni, kulipa madeni ya nyuma ambayo hayakuwa kwenye Bajeti? uk 40
  • Kwanini TRA Wametoa Takwimu za Uongo za Mapato ya Kodi ya zaidi ya shilingi 2.2 trilioni? uk 109
  • Serikali ya Jamhuri ya Muungano imepata Hati Chafu ( Hesabu Jumuifu za Taifa ). Kwanini Katibu Mkuu Hazina hajachukuliwa hatua kama ilivyokuwa kwa Wakurugenzi wa Serikali za Mitaa? uk 296-298

Mimi nina swali kwako, Je, unaweza kutuma maombi ya kazi department yoyote ya Utafiti wa Kiuchumi Dunia hii na kukubaliwa kama Mchumi au unapiga tu watu fiksi hapa? Niwekee hata chapisho lako moja tu ulilochapisha kuhusu Uchumi!

Acha blah blah wewe, unatuchelewesha tu!

Hii nchi tunabakia nyuma kwa kuwapa watu kama hawa ambao siyo Wachumi kutawala mambo ya Kiuchumi, tangu ripoti ya CAG isomwe umekalia cherry picking tu kila siku lkn hakuna chochote cha maana unachokisema, hiyo ripoti ina kurasa ngapi? Na lini umeisoma yote kuielewa na kuichanganua?
 
Mimi nina swali kwako, Je, unaweza kutuma maombi department yoyote ya uchumi Dunia hii na kukubaliwa kama Mchumi au unapiga watu fiksi hapa? Niwekee hata chapisho lako moja tu ulilochapisha kuhusu Uchumi!
Suala ni je hayo anayoyasema yana ukweli? Kwa hiyo tusihoji mpaka tuwe wachumi na tuwe na machapisho? Akili za wapi hizi!

Kama CAG kasema uongo basi mumtoe na muweke CAG wenu
 
Suala ni je hayo anayoyasema yana ukweli? Kwa hiyo tusihoji mpaka tuwe wachumi na tuwe na machapisho? Pmbv kabisa mtu

Kama CAG kasema uongo basi mumtoe na muweke CAG wenu

Vyuo vikuu vyetu vina Wachumi waliobobea watakuja kutuelezea vilivyomo na siyo kutoa nafsi kwa hawa laymen wa Uchumi kutuongelea mambo ya Kiuchumi!
 
Mimi nina swali kwako, Je, unaweza kutuma maombi ya kuajiriwa department yoyote ya Uchumi Dunia hii na kukubaliwa kama Mchumi au unapiga watu fiksi hapa? Niwekee hata chapisho lako moja tu ulilochapisha kuhusu Uchumi!

Hii nchi tunabakia nyuma kwa kuwapa watu kama hawa ambao siyo Wachumi kutawala mambo ya Kiuchumi!
Sidhani kama Zitto amesema ni mchumi kwenye hii thread. Ameuliza maswali ya msingi. Kama huna majibu basi waachie wenye nayo.
 
Mimi nina swali kwako, Je, unaweza kutuma maombi ya kazi department yoyote ya Utafiti wa Kiuchumi Dunia hii na kukubaliwa kama Mchumi au unapiga tu watu fiksi hapa? Niwekee hata chapisho lako moja tu ulilochapisha kuhusu Uchumi!

Acha blah blah wewe, unatuchelewesha tu!

Hii nchi tunabakia nyuma kwa kuwapa watu kama hawa ambao siyo Wachumi kutawala mambo ya Kiuchumi!
Wewe huna hoja yoyote. Mbona wajitoa Ufahamu, ushapewa kurasa kasome.
 
Mimi nina swali kwako, Je, unaweza kutuma maombi ya kazi department yoyote ya Utafiti wa Kiuchumi Dunia hii na kukubaliwa kama Mchumi au unapiga tu watu fiksi hapa? Niwekee hata chapisho lako moja tu ulilochapisha kuhusu Uchumi!

Acha blah blah wewe, unatuchelewesha tu!

Hii nchi tunabakia nyuma kwa kuwapa watu kama hawa ambao siyo Wachumi kutawala mambo ya Kiuchumi!
Ungejibu walau swali moja ningeona ugrinti thinka wako..
 
Mimi nina swali kwako, Je, unaweza kutuma maombi ya kazi department yoyote ya Utafiti wa Kiuchumi Dunia hii na kukubaliwa kama Mchumi au unapiga tu watu fiksi hapa? Niwekee hata chapisho lako moja tu ulilochapisha kuhusu Uchumi!

Acha blah blah wewe, unatuchelewesha tu!

Hii nchi tunabakia nyuma kwa kuwapa watu kama hawa ambao siyo Wachumi kutawala mambo ya Kiuchumi!
Nadhani bajeti imejikita kwa wataalam wa sayansi ya fedha!
 
Back
Top Bottom