Kimsingi elimu ya mpiga kura haikutolewa kwa kiwango cha kutosha na labda sasa iingizwe kwenye mitaala
Karatasi ya kupigia kura inakuwa na picha mbili za Mgombea Urais na Mgombea Mwenza.
Haisemi...
Angalieni yaliyomkuta Ndugai baada ya kupishana na Samia. Tena akiwa kwenye mhimili unaoisimamia serikali. Samia asingeweza kufurukuta mbele ya kiongozi wa malaika. Angejaribu si ajabu leo...
Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi...
CAG: TEMEKE ILILIPA BILIONI 2.16 KWA WANANCHI HEWA 94
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kupitia #CAGReport2022 anasema Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ililipa Malipo ya Fidia ya...
Sheria mama ya taifa letu ipo wazi kabisa na imeweka wazi kuwa rais hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yoyote yule. Isipokuwa kama imetanabaishwa kwenye katiba ya JMT. Hii ipo wazi kwenye ibara...
Salam za pasaka na mwezi mtukufu.
Nianze kwa kuwauliza hivi nini tunachokitaka toka kwa wanasiasa wa upinzani? Nikapita mitandaoni nikaangalia page kadhaa then nikapita na page za wanasiasa...
Rais Samia ameonesha kuwa anafahamu ongezeko la bei linaloendelea kwenye bidhaa mbalimbali nchini, na amesema ongezeko litaendelea kutokea kwa kuwa Vita vya Urusi na Ukraine vinaendelea.
Kwa...
Kuna wakati taifa letu lilipitia uvuli na mabonde ya kifo.
Hebu fikilia ndani ya ardhi ya Tanzania ilifikia mahali mtu akiota ndoto akiieleza mbele ya umma ikiwa kinyume na watawala unashikwa na...
Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10...
Mungu wa Ibrahimu, Isaack, Yakobo hata Yusufu, asubuhi leo nasogea mbele ya kiti chako kwa unyenyekevu, lakini kabla ya kusogea mahali patakatifu pako naomba kutibu maovu yangu ya kuwaza, kuona...
Mh Saashisha, ambaye alijulikana kama Team Sabaya, kutokana na kuwa bega kwa bega na Sabaya kwenye mambo yote, leo amedai hadharani kwamba amemtumia salamu Freeman Mbowe siku ile ile aliyotoka...
Huu utabiri ulitabiriwa miaka ya 2010-2015 wakati Jakaya Kikwete akiwa Rais na ufisadi, uzembe na upendeleo usio na tija uliposhika uskani na kusababisha CCM kuchukiwa na wananchi.
Yamejirudia...
Hii kauli, Marehemu asemwi. Kuna tofauti kati ya kumsema vibaya marehemu na kusema matendo yake. Utamuduni mzuri ni kila mtu asemwe kwa matendo yake ili tujifunze kuwa vitabu vizuri ktk maisha...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara. Mh. Samwel Kiboye a.k.a namba tatu, amesema ameshtushwa sana na ufisadi wa kutisha uliohibuliwa na mkaguzi mkuu wa Serikali (CAG). Akiongea na wafanyabiashara...
UKIMKUTA MAMBA NCHI KAVU NI KWA AJILI YA KUOTA JUA NA KUTAGA MAYAI LAKINI ASILI YA MAISHA YAKE NA MAWINDO NI MAJINI:
Ndugu Wana CCM na Watanzania,
Wahenga wa kale walisema, Sikio la kufa huwa...
Mo Ibrahim: "One issue that is taboo in #Africa is #familyplanning. Why is that? I can't understand how our brother in #Tanzania can say women shd have more children, when the average woman has 6...
Hii kauli ya kuzaa bila kufuata uzazi wa mpango ambayo ni Sera ya taifa ni kuvuruga watu.
Sasa mkuu wa mkoa wa Mwanza ana hamasisha wananchi masikini vijijini kuzaana sana "eti kuwa na Magufuli...
Wanabodi, Moja kati ya ukatili uliofanyika na kuwaumiza watumishi wa uma na sekta binafsi ni tamko la Kuongeza riba ya mikopo ya wanafunzi kutoka asilimia 8% mpaka 15%
Vyama vya wafanyakazi na...
Kwa kweli sikubaliani na yule CAG aliyetaka kumvua nguo Mzee Mwendazake na kutaka akague mpaka chini ya Godoro akihisi mwendazake alikuwa analalia pesa za umma kilichomkuta anakikukbuka sijui yu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.