2025 Sugu aliokolewa na Lowassa kama ilivyokuwa kwa Mnyika vinginevyo Ubunge wangeukosa. Wananchi walishawachoka

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,929
141,893
Wabunge wengi wa CHADEMA walishachokwa sema tu 2015 mzee Lowassa aliwaboost wakarejea mjengoni.

Ni wabunge watatu tu wa kuchaguliwa ndio walikuwa bado wanakubalika na inawezekana hata 2020 walishinda ambao ni Freeman Mbowe wz Hai, mchungaji Msigwa wa Iringa mjini na Prof Jay wa Mikumi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Wabunge wengi wa Chadema walishachokwa sema tu 2015 mzee Lowassa aliwaboost wakarejea mjengoni.

Ni wabunge watatu tu wa kuchaguliwa ndio walikuwa bado wanakubalika na inawezekana hata 2020 walishinda ambao ni Freeman Mbowe wz Hai, mchungaji Msigwa wa Iringa mjini na Prof Jay wa Mikumi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Lowassa ndio amekuambia au unajaribu kupiga ramli?
 
Wabunge wengi wa CHADEMA walishachokwa sema tu 2015 mzee Lowassa aliwaboost wakarejea mjengoni.

Ni wabunge watatu tu wa kuchaguliwa ndio walikuwa bado wanakubalika na inawezekana hata 2020 walishinda ambao ni Freeman Mbowe wz Hai, mchungaji Msigwa wa Iringa mjini na Prof Jay wa Mikumi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Acha porojo,itasha uchaguzi Leo,wale maDed wasitishwe,na wazee wa pgo wawe walinda usalama TU kama iliyojukumu lao,naamini hata kama nec ya Mahera ikawepo Kwa mapitio wanayopitia wale wote waliotuchafulia uchaguzi 2019/2020 wataona aibu na naamini utayashangaa macho Yako Jo 🏃🏃
 
Wabunge wengi wa CHADEMA walishachokwa sema tu 2015 mzee Lowassa aliwaboost wakarejea mjengoni.

Ni wabunge watatu tu wa kuchaguliwa ndio walikuwa bado wanakubalika na inawezekana hata 2020 walishinda ambao ni Freeman Mbowe wz Hai, mchungaji Msigwa wa Iringa mjini na Prof Jay wa Mikumi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Na wabunge wote wa ccm walisaidiwa na yule Dikteta uchwara ambaye hatujui mbinguni kafikia wapi ,!
Mungu fundi.
 
Mnyika alipewa mpunga aache kugombea Jimbo la ubungo, mpinzani wake aliamini kwamba akiacha kugombea ubungo akaenda kibamba, CCM ingeshinda, kala mpunga huku anarekodiwa, bahati mbaya kubenea akashinda.

Sasa hivi hafurukuti kama zamani, akitoa kichwa tu watu wanaweka video clip yake mtandaoni. Hata hao COVID ...sio kwamba Chadema wanashindwa kuwafukuza, wanajua Siri nyingi mno, Mbowe anafanya nao muafaka chini kwa chini japo chama na wanawake wa CDM watakiwasha wakijua. Ila atafanyaje, bado Wana utamu na yeye ana hamu
 
Siri zingne hazina madhara kutokana na muda. We unataka chadema wawafukuze mara ngapi??
 
Acha story za kusadikika wewe?!!..
 
Siri zingne hazina madhara kutokana na muda. We unataka chadema wawafukuze mara ngapi??
Mnyika na SUGU ni wa kuungurumia chini ya meza? Hebu jiongeze basi, pale desderia hotel zamani serikali ilizuia semina zisifanyikie pale, Sasa hivi kama Kawa, kusoma hujui, hata picha huoni?
 
Kwahiyo ulitaka kwasababu hotel ya Sugu basi hata kama kuna hadhi na bei Nzuri kusifanyikie shughuli za serikali Wewe akili zako umetoa Kwa panya Wewe
 
Mnyika alipewa mpunga aache kugombea Jimbo la ubungo, mpinzani wake aliamini kwamba akiacha kugombea ubungo akaenda kibamba, CCM ingeshinda, kala mpunga huku anarekodiwa, bahati mbaya kubenea akashinda.

Sasa hivi hafurukuti kama zamani, akitoa kichwa tu watu wanaweka video clip yake mtandaoni. Hata hao COVID ...sio kwamba Chadema wanashindwa kuwafukuza, wanajua Siri nyingi mno, Mbowe anafanya nao muafaka chini kwa chini japo chama na wanawake wa CDM watakiwasha wakijua. Ila atafanyaje, bado Wana utamu na yeye ana hamu
Ile awamu ya kiongozi wa malaika inavyopenda sifa vile wawe wameiacha hiyo video hadi leo? Kama walithubutu kuingilia mazungumzo ya nape na wenzake ndio waitunze hiyo video. Acheni porojo za kishamba.
 
Kwahiyo ulitaka kwasababu hotel ya Sugu basi hata kama kuna hadhi na bei Nzuri kusifanyikie shughuli za serikali Wewe akili zako umetoa Kwa panya Wewe
Hapo Kuna mikataba ya "gizani" ishaingiwa, muhuni Yuko payroll anakula noti kwa viwango vilevile vya mbunge aliye Bungeni pamoja na posho ili asimsumbue madam spika, anakuja pipoz power anajifanya kujadili, baadae anawazomea, anapanda ndege anarudi kwake green city
 
Wabunge wengi wa CHADEMA walishachokwa sema tu 2015 mzee Lowassa aliwaboost wakarejea mjengoni.

Ni wabunge watatu tu wa kuchaguliwa ndio walikuwa bado wanakubalika na inawezekana hata 2020 walishinda ambao ni Freeman Mbowe wz Hai, mchungaji Msigwa wa Iringa mjini na Prof Jay wa Mikumi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ujue Sugu ndiye mbunge aliyepata Kura nyingi kuliko wabunge wote Tanzania 2015. Ni Rais wa Mbeya. Hata 2020 alishinda.!!!!!!
 
Wabunge wengi wa CHADEMA walishachokwa sema tu 2015 mzee Lowassa aliwaboost wakarejea mjengoni.

Ni wabunge watatu tu wa kuchaguliwa ndio walikuwa bado wanakubalika na inawezekana hata 2020 walishinda ambao ni Freeman Mbowe wz Hai, mchungaji Msigwa wa Iringa mjini na Prof Jay wa Mikumi.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Na Magufuli aliokolewa na Timu Masaki na Tume ya Uchaguzi
 
Back
Top Bottom